Gari za kuendesha mwanaume kwa mazingira ya nchi yetu

Gari za kuendesha mwanaume kwa mazingira ya nchi yetu

1) ford ranger
2) jeep wranger
3) toyota prado GXR
4) toyota randcruser VXR
5)vorkswagen Amarok
6) subaru e- boxer
7) landrover dicovery 4/5
8) range rover outobiograph
9) nissan patrol 2025
10) mercedes G class

mimi ni binti nipo hapo namba saba.sijahongwa nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.
sasa wanaume kama upo kwenye raum na familia yake jipigepige kifuani sema " mimi ni binti"😅😅👌
Ungehongwa ungesema?
 
1) ford ranger
2) jeep wranger
3) toyota prado GXR
4) toyota randcruser VXR
5)vorkswagen Amarok
6) subaru e- boxer
7) landrover dicovery 4/5
8) range rover outobiograph
9) nissan patrol 2025
10) mercedes G class

mimi ni binti nipo hapo namba saba.sijahongwa nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.
sasa wanaume kama upo kwenye raum na familia yake jipigepige kifuani sema " mimi ni binti"😅😅👌
Autobiography range rover si gari kama ya kuifanya daily driver...

Hizo G wagon, nissan patrol new model n.k ndipo usiseme..

Kwa matumizi ya kila siku ndio maana watu wananunua gari ndogo..

Ndio maana watu wanatumia harrier ,vanguard, rav4 n.k kwa routes za kila mara...

Hio nissan patrol,mfano y62, inatumia lita moja kwa kilomita 5, ni 5000cc.. hivyo usiongee kirahisi tu.. na hio gari wenyewe walioitengeneza wanakiri ilitengenezwa kulenga soko la middle east kulipo na mafuta ya kumwaga...

Hata mastaa wa mbele huko wengine wanatumia prius kama usafiri wa kila siku na range rover kwenye mitoko na events..
 
harrier imekaa ki kike
We ukitizama hizo gari zote za 2024 unaona ipi imekaa kike.


Itazame hio crosstrek..

1000001308.jpg
1000001309.jpg




Halafu tazama harrier...



1000001310.jpg


1000001311.jpg
 
Hawa Malaya wasikufanye ukajiona huna maisha, mwanaume utaliponza jicho.
 
  1. Ford Ranger
  2. Jeep Wrangler
  3. Toyota Prado GXR
  4. Toyota Land Cruiser VXR
  5. Volkswagen Amarok
  6. Subaru e-Boxer
  7. Land Rover Discovery 4
  8. Range Rover Autobiography
  9. Nissan Patrol (2025)
  10. Mercedes-Benz G-Class
Mimi ni binti, nipo hapo namba saba. Sijahongwa; nimenunua mwenyewe kwa jasho langu.

Sasa wanaume, kama upo kwenye orodha na gari lako ni moja ya hayo, jipigepige kifuani useme, Mimi ni binti 😅😅👌
We unaendesha gari gani
 
Back
Top Bottom