Gari za kuendesha mwanaume kwa mazingira ya nchi yetu

Ungehongwa ungesema?
 
Autobiography range rover si gari kama ya kuifanya daily driver...

Hizo G wagon, nissan patrol new model n.k ndipo usiseme..

Kwa matumizi ya kila siku ndio maana watu wananunua gari ndogo..

Ndio maana watu wanatumia harrier ,vanguard, rav4 n.k kwa routes za kila mara...

Hio nissan patrol,mfano y62, inatumia lita moja kwa kilomita 5, ni 5000cc.. hivyo usiongee kirahisi tu.. na hio gari wenyewe walioitengeneza wanakiri ilitengenezwa kulenga soko la middle east kulipo na mafuta ya kumwaga...

Hata mastaa wa mbele huko wengine wanatumia prius kama usafiri wa kila siku na range rover kwenye mitoko na events..
 
ndio nikimaanisha ile subaru yenye mfumo wa powertrain nadhani ni tofauti na xT na Xs nadhani ni crosstreacker
Crosstrek, hio gari haifikii bei harrier.. halafu kule juu unaiponda...
 
Hawa Malaya wasikufanye ukajiona huna maisha, mwanaume utaliponza jicho.
 
We unaendesha gari gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…