Gari za kukodisha pamoja na Dereva

Guru Master

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
226
Reaction score
594
Wadau nina gari 3 ambazo nakodisha kwa watu moja ni Toyota Rumion, Toyota Crown na Toyota IST. IST na Crown zimeshapata watu ambao watakuwa wanazitumia.

Imebaki RUMION. Dereva unapewa anakuendesha unapoenda popote ndani ya nchi. Mafuta ni juu yako ila utalipa pesa ya kukodi ambayo sasa itategemeana na uendapo ndani na nje ya Mkoa.
 
Imekaa vizuri nikipata wadau nitakuunganisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…