Gari za serikali zimepotea sio hizi bus za Esther?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20230406_195533.jpg

Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?

Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
 
View attachment 2578793

Dots za kijika sio the GT hoja uliyoleta ni ya kipumbavu (Stupid).
 
View attachment 2578793

Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?

Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Basi moja ni Bei Gani Ili Tupate hesabu ya bil 35.
 
View attachment 2578793

Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?

Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Tagu lini fisi akepewa kazi kuuza bucha?
 
Sheria ya ununuzi wa umma unataka taasisi ya umma/wizara ipokee vifaa au huduma kosha ndipo malipo yafanyike. Kinachotakiwa tulitakiwa tuaambiwe je kama vifaa havijapokelewa ina maana pesa zipo. Taasisi inayotuhumiwa mbona imepata hati safi? Kwahiyo ina maana pesa zipo.

Tukumbuke dunia iliingia athari za covid na vita vya ukraine utengenezaji wa magari umekuqa ninchangamoto kubwa sana duniani kwasababu ya kukosekana kwa Micro chips ( Vifaa vya kitehama ) vinavyotengeneza magari.

Lakini pili kuna changamoto kubwa ya usafirishaji wa meli duniani kwa sababy ya ujazo wa meli kwenye maeneo ya bandari katika maeneo yanakotengenezwa magari( South Africa, Japan, Uinngereza Nk. )

Lakini pia tutofautishe magari yanayoletwa na wafanyabiashara na zile za jumuia ya UN.

Pia tujiulize Taasisi inayotuhumiwa magari kutokufika kwa wakati je si kuna maeneo mengine pia hayakufika na tumeona imeonyeshwa kwenye ripoti lakini wananunua wenyewe na sio GPSA mbona wao hatuwasakami?

Tuache vyombo vya bunge na kamati zake ziendelee kufuatilia kama ambavyo imesemwa bungeni ili watujuze. NI VEMA TUPITIE SHERIA YA UNUNUZI vifaaa vinapokelewa ndipo malipo yanafanyika.kwahiyo hapa tujiulize malipo yamekwishafanyika? Kama hayafanyika basi hakuna upotevu wa fedha kama ambavyo inazungumzwa humu na kwenye ripotu hiyo. CAG ni taasisi kubwa tusubiri kamati za bunge zifanye uchambuzi wake ndipo tuje turudi kujiuliza je sheria ilifuatwa?
 
Fikiria kama fedha za halmashauri kwaajili ya walemavu pia zinapigwa Yani tumefika pabaya au ndio Kula urefu wa kamba?
 
View attachment 2578793

Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?

Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Yaani mnakuja na hoja nyepesi sana Kwa Mwigulu.

Kwanza hao GPSA wanadaiwa magari mengi sana Toka 2019 sijui kama wameyaleta yote..

Sasa hapo Mwigulu anahusikaje? Maana wanaoagiza hayo magari ni user departments kutoka Wizara na taasisi mbalimbali,Wizara ya Fedha ni kupeleka pesa Kwa Wizara za kisekta kwenye mafungu Yao nao wanalipa huko GPSA .

Sasa hapo hiyo ripoti ya CAG inamhusu vipi Waziri? Ishu kubwa ni inefficiency ya GPSA.
 
Sheria ya ununuzi wa umma unataka taasisi ya umma/wizara ipokee vifaa au huduma kosha ndipo malipo yafanyike. Kinachotakiwa tulitakiwa tuaambiwe je kama vifaa havijapokelewa ina maana pesa zipo. Taasisi inayotuhumiwa mbona imepata hati safi? Kwahiyo ina maana pesa zipo.

Tukumbuke dunia iliingia athari za covid na vita vya ukraine utengenezaji wa magari umekuqa ninchangamoto kubwa sana duniani kwasababu ya kukosekana kwa Micro chips ( Vifaa vya kitehama ) vinavyotengeneza magari.

Lakini pili kuna changamoto kubwa ya usafirishaji wa meli duniani kwa sababy ya ujazo wa meli kwenye maeneo ya bandari katika maeneo yanakotengenezwa magari( South Africa, Japan, Uinngereza Nk. )

Lakini pia tutofautishe magari yanayoletwa na wafanyabiashara na zile za jumuia ya UN.

Pia tujiulize Taasisi inayotuhumiwa magari kutokufika kwa wakati je si kuna maeneo mengine pia hayakufika na tumeona imeonyeshwa kwenye ripoti lakini wananunua wenyewe na sio GPSA mbona wao hatuwasakami?

Tuache vyombo vya bunge na kamati zake ziendelee kufuatilia kama ambavyo imesemwa bungeni ili watujuze. NI VEMA TUPITIE SHERIA YA UNUNUZI vifaaa vinapokelewa ndipo malipo yanafanyika.kwahiyo hapa tujiulize malipo yamekwishafanyika? Kama hayafanyika basi hakuna upotevu wa fedha kama ambavyo inazungumzwa humu na kwenye ripotu hiyo. CAG ni taasisi kubwa tusubiri kamati za bunge zifanye uchambuzi wake ndipo tuje turudi kujiuliza je sheria ilifuatwa?
Kiukaguzi hata kama magari yamenunuliwa na yanafanya kazi ila wakati anakagua akakuta hayakuingizwa kwenye Ledger au delivery note hazipo basi anasema magari husika hayakupokelewa. Mana ukipokea kifaa chochote ni lazima ukiingize kwenye ledger husika na kuwepo na delivery note inayoonyesha vifaa vimepokelewa.
 
Mleta mada asipuuzwe hii hela inatosha kununua bus sitini na chenji kana billion tano inabaki
Inaonekana ana UKWELI anaoujua.

Bt kwann aseme mkubwa anajua? Ina maana mkubwa pia ana share kwenye mabasi hayo?
 
Back
Top Bottom