OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Dots za kijika sio the GT hoja uliyoleta ni ya kipumbavu (Stupid).View attachment 2578793
Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?
Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Basi moja ni Bei Gani Ili Tupate hesabu ya bil 35.View attachment 2578793
Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?
Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Kama kuna Mwanaccm hajapata hela basi atakuwa fala sana !Ndiyo zenyewe View attachment 2579339View attachment 2579340
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sio WanaCCM tu Mbowe,Lisu ,mnyika na wengine fala wewe upo jf kupiga kelele tu hujapewa hata miaKama kuna Mwanaccm hajapata hela basi atakuwa fala sana !
Hata mimi natafuta connection ya akina Mbowe, kujifanya unawatetea wa TZ ni kupoteza muda, wacha nature ifanye kazi yake.Sio WanaCCM tu Mbowe,Lisu ,mnyika na wengine fala wewe upo jf kupiga kelele tu hujapewa hata mia
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Tagu lini fisi akepewa kazi kuuza bucha?View attachment 2578793
Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?
Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Ama kwa hakika hili povu halijaja bure 🤣🤣🤣🤣!! Kuna something....Dots za kijika sio the GT hoja uliyoleta ni ya kipumbavu (Stupid).
Yaani mnakuja na hoja nyepesi sana Kwa Mwigulu.View attachment 2578793
Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani.
Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi?
Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
Mleta mada asipuuzwe hii hela inatosha kununua bus sitini na chenji kana billion tano inabakiBasi moja ni Bei Gani Ili Tupate hesabu ya bil 35.
Kwahiyo mama alikuwa anawapa hela hao akina Mbowe! Wehu huanzia hapa.Sio WanaCCM tu Mbowe,Lisu ,mnyika na wengine fala wewe upo jf kupiga kelele tu hujapewa hata mia
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukaguzi hata kama magari yamenunuliwa na yanafanya kazi ila wakati anakagua akakuta hayakuingizwa kwenye Ledger au delivery note hazipo basi anasema magari husika hayakupokelewa. Mana ukipokea kifaa chochote ni lazima ukiingize kwenye ledger husika na kuwepo na delivery note inayoonyesha vifaa vimepokelewa.Sheria ya ununuzi wa umma unataka taasisi ya umma/wizara ipokee vifaa au huduma kosha ndipo malipo yafanyike. Kinachotakiwa tulitakiwa tuaambiwe je kama vifaa havijapokelewa ina maana pesa zipo. Taasisi inayotuhumiwa mbona imepata hati safi? Kwahiyo ina maana pesa zipo.
Tukumbuke dunia iliingia athari za covid na vita vya ukraine utengenezaji wa magari umekuqa ninchangamoto kubwa sana duniani kwasababu ya kukosekana kwa Micro chips ( Vifaa vya kitehama ) vinavyotengeneza magari.
Lakini pili kuna changamoto kubwa ya usafirishaji wa meli duniani kwa sababy ya ujazo wa meli kwenye maeneo ya bandari katika maeneo yanakotengenezwa magari( South Africa, Japan, Uinngereza Nk. )
Lakini pia tutofautishe magari yanayoletwa na wafanyabiashara na zile za jumuia ya UN.
Pia tujiulize Taasisi inayotuhumiwa magari kutokufika kwa wakati je si kuna maeneo mengine pia hayakufika na tumeona imeonyeshwa kwenye ripoti lakini wananunua wenyewe na sio GPSA mbona wao hatuwasakami?
Tuache vyombo vya bunge na kamati zake ziendelee kufuatilia kama ambavyo imesemwa bungeni ili watujuze. NI VEMA TUPITIE SHERIA YA UNUNUZI vifaaa vinapokelewa ndipo malipo yanafanyika.kwahiyo hapa tujiulize malipo yamekwishafanyika? Kama hayafanyika basi hakuna upotevu wa fedha kama ambavyo inazungumzwa humu na kwenye ripotu hiyo. CAG ni taasisi kubwa tusubiri kamati za bunge zifanye uchambuzi wake ndipo tuje turudi kujiuliza je sheria ilifuatwa?
Inaonekana ana UKWELI anaoujua.Mleta mada asipuuzwe hii hela inatosha kununua bus sitini na chenji kana billion tano inabaki
Hizi gari ni mali ya Mwigulu kazimilikisha kwa mkewe mchaga.Ndiyo zenyewe View attachment 2579339View attachment 2579340
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huyo mkewe kwao wako vizuri?Hizi gari ni mali ya Mwigulu kazimilikisha kwa mkewe mchaga.
Sawa sikatai lakini hizo gari walikuwa nazo hapo awali kabla ya kuolewa na Mwigulu? tuanzie hapoHuyo mkewe kwao wako vizuri?