Gari za serikali zimepotea sio hizi bus za Esther?!

Tusubiri vyombo vya bunge viendelee kufuatilia, unadhani kila mtu ana imani na hilo bunge? Zaidi ya nusu ya wabunge huko ndani ikiwemo waziri mkuu, wako bungeni kwa kunajisi uchaguzi. Sasa kama wabunge hawakupata ubunge kiadilifu, unategemea wasimamie uadilifu?
 
Ukummbuke pia Kuna watu walioajiriwa Kwa AJILI ya kufanya hizo transaction na Kuna wakaguzi wa NDANI Kila wilaya na wizara,how come mpaka CAG akute plain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…