Gari za serikali ziwekewe limit ya speed ili kupunguza ajari za barabarani

Gari za serikali ziwekewe limit ya speed ili kupunguza ajari za barabarani

Navuta bangi

Member
Joined
Aug 14, 2020
Posts
80
Reaction score
160
Wakuu nimepita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii ajali aliopata mkurugenzi wa halmashauri ya tarime Leo maeneo ya ikungi singida, dereva pamoja na afisa maendeleo wamefariki papo hapo...Mkurugenzi amekimbizwa hospital ila kwa jinsi hii gari ilivoisha najua atakuwa na hali mbaya sana.

Nadhani kuna umuhimu mkubwa sana kwa hizi gari za viongozi wa kiserikali kuwekewa limit ya speed bila hivo tutaendelea kupoteza ndugu zetu wengi sana.....Na wale wenzangu na Mimi mnaopenda ligi mnatakiwa muwe makini sana.

FB_IMG_16103044694837258.jpg
 
Gari ya kiongozi haina speed limit, unataka wawe wanatembea kama watalii.
 
Pole kwa wafiwa na nchi kwa ujumla. Ishu sio kuweka speed governor, ni kuwapa elimu ya kujitambua hawa madereva wa serikali kuwa makini kwa Road. Wao wanajiamini sana coz wanajua hawawezi kukamatwa na askari yoyote.
 
Bosi ndo anataka kukimbia.
 
wapumziike kwa amani ila suluhisho so kuekewa speed limit kweny magari yao bali ni kuwa ongezea elimu madereva ili wawe makini
 
Back
Top Bottom