Navuta bangi
Member
- Aug 14, 2020
- 80
- 160
Wakuu nimepita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii ajali aliopata mkurugenzi wa halmashauri ya tarime Leo maeneo ya ikungi singida, dereva pamoja na afisa maendeleo wamefariki papo hapo...Mkurugenzi amekimbizwa hospital ila kwa jinsi hii gari ilivoisha najua atakuwa na hali mbaya sana.
Nadhani kuna umuhimu mkubwa sana kwa hizi gari za viongozi wa kiserikali kuwekewa limit ya speed bila hivo tutaendelea kupoteza ndugu zetu wengi sana.....Na wale wenzangu na Mimi mnaopenda ligi mnatakiwa muwe makini sana.