Navuta bangi
Member
- Aug 14, 2020
- 80
- 160
Wanashughulikia mambo ya serikali kwa hiyo kuweka limit Kuna mda watashindwa kutimiza majukumu yao
Bosi ndo anataka kukimbia.Pole kwa wafiwa na nchi kwa ujumla. Ishu sio kuweka speed governor, ni kuwapa elimu ya kujitambua hawa madereva wa serikali kuwa makini kwa Road. Wao wanajiamini sana coz wanajua hawawezi kukamatwa na askari yoyote.
Basi watapata masahibu sana tuGari ya kiongozi haina speed limit, unataka wawe wanatembea kama watalii.