Gari za Tesla aina Cybertrack kama huna ufahamu wa kompyuta na teknolojia achana nayo

Gari za Tesla aina Cybertrack kama huna ufahamu wa kompyuta na teknolojia achana nayo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Gari ya cybertruck kama mwanamke yani ukitaka kupata rahaa lazima kumtayarisha ili utumie.

Sasa kitu ambacho nimefikiria haya magari kuleta bongo unaweza kulipark uwani na kufa mazima.

Gari ya cybertruck ukilipeka kuoshwa lazima ulitambulishe la sivyo litakugomea kufungua chochote na kuondoka.
Hii ni setting na unatambulisha unaosha kwa presha au kwa kawaida.
IMG_1481.jpeg


Gari cybertrack hata ukitaka kwenye kwenu kizimkazi lazima ulitolee maelezo.
IMG_1483.jpeg


Kwa haya magari yetu unatekenya na kuondoka basi litakusumbua.
 
Back
Top Bottom