Gari za Ulaya/Marekani hazitaki ubabaishaji kabisa

Au unaweka kidebe?
Most of Tanzanian kulingana na uhalisia ma maisha yetu huwa tunakosea sanaaa mtu kuweka mafuta anasikilzia hadi warming light ya ya fuel na wengne wanaenda mbali zaidi anatumia hadi mafuta ya kwenye reserve tank n kitu mbaya sanaa ktk maisha ya gari lako ukiangalia na quality ya haya mafuta tunatumia haiko vzur in such shida inakuwa kubwa zaidi au wakuta mtu hata ile filter tu habadiri kwa wakati inakuwa clokked na impurities mpka perfomance ya gari inashuka ndo mtu atashtuka.
 
True
 
Hapo nimekusoma vyema mkuu, maana magari ya toyota bongo yanapendwa sana kuliko zambia na kenya. Mfano nchi kama gambia unakutana na tax nyingi sana ambazo ni benz, tena unakuta zimechoka tu kama corola za huku, bt ziko poa tu na ndio maisha yao waliyozoea, i think ukienda huko ukiwaambia kuwa european car ni majanga watakushangaa
 
Ukitaka kujua umuhimu au ubora wa Toyota , angalia watu wanaotumia magari kwenye extremes , wildlifes safari , magaidi , humanitarian service provides , pirates and the likes , hawa popote duniani wanaunua Toyota katika missions zao, kuna kipindi Toyota ,walikuwa kikaangoni walipoulizwa alqaeda, walikuwa wananunua wapi brand new hilux na land cruisers.
United Nations, ambayo , ni purely American, wanaponunua magari kwa ajili ya missions zao , huwa hawanunui Ford , Chelvolet , dodge au Cardlillac,, they'll buy Toyota , with reasons.
 
Which reason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…