Gari za watoa misaada Gaza zilipigwa kwa makusudi moja baada ya nyengine

Kumbe ndivyo watu wanavyouliwa kwa visingizio kama hivyo.Mwanzoni tulikuwa wachache tuliojua vitmbi vya mayahudi.
Unampa adui yangu chakula ili iweje?Rafiki wa adui yangu ni adui yangu tunayesalimiana vizuri.
 
Tatizo la Israel ni ma narcissists. Yaani wengi wao wanaamini kabisa kuwa wao ni binadamu zaidi kuliko wengine. Wanaamini kuwa wao ni taifa teule.

Hicho ni kiwango cha juu kabisa cha narcissism.

Wanaua raia wa kawaida wa palestina wanawake kwa watoto alafu wanachukulia poa tu kana kwamba maisha ya hao watu hayana thamani yoyote.

Ndio maana Hitler alisema Ulaya haitakuja kutulia wasipowamaliza hao jamaa. Sasa wako mashariki ya kati nako hakuna utulivu.
Kwa hiyo wao wakiwaza na kuwa hivyo ndiyo unapata ruhusa ya kuwaletea fujo?Hamas na wajinga wenzao wapambane kimyakimya.Hamna kujilizaliza.
 
Taarifa za kiinteligensia zilionyesha pasipo shaka walikuwa ni magaidi waliojifanya wanapeleka misaada.
Hayo mengine mtajua wenyewe, nchi iko vitani hakuna kudharau taarifa hata kama ina asilimia 1 ya ukweli.
Wewe ni mshamba sana wa habari.Watu waliouliwa ndugu zao kwenye hizo gari wapo ni karibu wote ni kutoka Ulaya na Marekani.Wewe umeshikilia magaidi.
Hao wananchi wa Palestina kuuliwa 100 na kuendelea kwa visingizio vya kigaaidi imeshazoeleka japo inauma sana.
Safari hii Israel imejifedhehesha kwa kupiga nchi marafiki zake.
 
Unampa adui yangu chakula ili iweje?Rafiki wa adui yangu ni adui yangu tunayesalimiana vizuri.
Ndio maana masheikh hatutaki kuja kwenye hospitali za misheni.
Tunataka ruzuku tujenge hospitali za kwetu wenyewe.
 
Hospitals za misheni zilianzishwa kwa fedha za misheni.Hazikusubiri ruzuku.Tazama tofauti hiyo.
 
Vita havina macho bana unajuaje hamas walikuja hapo kuchukua na wao misaada mara nyingi israel imelalamika hii misaada inawanufaisha hamas pia
Walikuwa wanawapelekea chakula wapiganaji wa Hamas badala ya kukipeleka kwenye kambi za wapalestina ndio maana wakawadunda.Kambi ipo halafu wanabeba chakula kuelekea kwenye majumba ambako Hamas wapo.

Swali ni kwa nini walibeba vyakula kwenda navyo kwenye majumba badala ya kwenye makambi? Kilichowakuta halali yao
 
Ndio maana masheikh hatutaki kuja kwenye hospitali za misheni.
Tunataka ruzuku tujenge hospitali za kwetu wenyewe.
Ruzuku ya serikali sio kujenga hospitali huwa wanaitoa kama gharama moja ya kupanga hospital za kanisa ili watoe huduma zao za bure kwenye majengo ya kanisa

Mfano Bugando ni hospitali kubwa ya rufaa kanda ya ziwa.Serikali ina vitengo vyake pale kwenye majengo ya Bugando na kuna madaktari wa serikali wapo pale hivyo ruzuku huwa kwa ajili hiyo kulipa madaktari wa serikali, umeme maji ma kutumia majengo yao na vifaa vyao

Serikali haitoi ruzuku kujenga majengo
 
Walikuwa wanawapelekea chakula wapiganaji wa Hamas badala ya kukipeleka kwenye kambi za wapalestina ndio maana wakawadunda.Kambi ipo halafu wanabeba chakula kuelekea kwenye majumba ambako Hamas wapo.

Swali ni kwa nini walibeba vyakula kwenda navyo kwenye majumba badala ya kwenye makambi? Kilichowakuta halali yao
Hamas wanapigana kiume bila kuwa na kambi za kijeshi na hakuna anayejua wako wapi.Kama ni kujua walipo angejua Israel mwenye zana za kisasa za kivita mpaka mitambo ya AI.Pamoja na hivyo na bado kashindwa kuwaona itakuwa wcjk
 
Ruzuku ya serikali sio kujenga hospitali huwa wanaitoa kama gharama moja ya kupanga hospital za kanisa ili watoe huduma zao za bure kwenye majengo ya kanisa

Mfano Bugando ni hositali kubwa ya rufaa kanda ya ziwa.Serikali ina vitengo vyake pale kwenye majengo ya Bugando na kuna madaktari wa serikali wapo pale hivyo ruzuku huwa kwa ajili hiyo kulipa madaktari wa serikali, umeme maji ma kutumia majengo yao na vifaa vyao

Serikali haitoi ruzuku kujenga majengo
Kama ni hivyo na ili kuwaridhisha raia wengine serikali kuanzia sasa ijenge hospitali zake na ijiondoe kwenye majengo ya kanisa.
Sidhani kama kanisa litakuwa na mwendo hata wa miaka 5 mbele.
 
Unajua hospitals za misheni zimeanza kupewa ruzuku na serikali lini?
 
Kama ni hivyo na ili kuwaridhisha raia wengine serikali kuanzia sasa ijenge hospitali zake na ijiondoe kwenye majengo ya kanisa.
Sidhani kama kanisa litakuwa na mwendo hata wa miaka 5 mbele.
Serikali sasa hivi imejenga hospitali nyingi sana nafikiri umeshuhudia mwenyewe.ziko za uhakika sana zimejenga kila wilaya na kila mkoa.Tatizo lililopo ubora wa huduma hizo hospitali ni changamoto ndio maana hizo za kanisa utazikuta ziko safi zinaendelea bila shida

Na kitu kimoja ufahamu hizo hospitali za kanisa zilijengwa kwa ajili ya kuhudumia waumini wake .Hivyo hata serikali ijenge vipi waumini wapo wa kwenda hizo hospitali.Ni kama ilivyo shule za kanisa hata useme serikali ijenge shule nyingi vipi za kanisa zitaendelea kuwepo na kujaa wanafunzi sababu zilijengwa kusaidia waumini wao na waumini wao wanaziamini sana. hivyo sio rahisi kufa ni sawa na useme Hospitali za Agha Khan au Hindu Mandal kuwa zaweza kufa waswahili wakiacha kwenda kutibiwa Agha Khan au Hindu Mandal haiwezekani zile zilijengwa kuhudumia waumini wa dini zao .Waumini wao wapo na ndio huzitumia na hawataacha kwenda hata ujenge hospitali za serikali mia kuzungunguka hospitali za Aghakhan Hindu Mandal au za Kanisa.Waumini wataenda kwenye hospitali zao

Kwa hiyo acheni kudanganyana misikitini kuwa serikali ikiondoa ruzuku kwenye hospitali za kanisa zitakufa.Haiwezekani ni za waumini hizo na wanaziamini kuliko za serikali kama ambavyo waumini wanaziamini shule za kanisa kuliko za serikali hata serikali ijenge shule kila mtaa mtajazana waislamu wenyewe humo.Wakristo wataenda shule zao

Hizo zina wateja tayari waumini wao hazihitaji kujitangaza kutafuta wateja na hata serikali ifute ruzuku kesho zenyewe zinaendelea bila shida
 
zamani sana hata kabla ya Lowasa 1992
Kumbe hazikujengwa kwa ruzuku ila serikali imeongeza nguvu ili isaidiwe kwa wananchi wake kupatiwa huduma!Halafu,ukifika hizo hospitals haupewi masikio ya kitimoto utafune.Unapatiwa huduma (the best)za afya.Uachane na maneno ya vibarazani.
 
Tatizo la Israel ni ma narcissists. Yaani wengi wao wanaamini kabisa kuwa wao ni binadamu zaidi kuliko wengine. Wanaamini kuwa wao ni taifa teule.

Hicho ni kiwango cha juu kabisa cha narcissism.

Wanaua raia wa kawaida wa palestina wanawake kwa watoto alafu wanachukulia poa tu kana kwamba maisha ya hao watu hayana thamani yoyote.

Ndio maana Hitler alisema Ulaya haitakuja kutulia wasipowamaliza hao jamaa. Sasa wako mashariki ya kati nako hakuna utulivu.
W
Chochote kikitokea Gaza ni sawa lakini kikitokea sehemu nyengine kama Israel inakuwa nongwa.
ni sawa kwa mujibu wa nani?
 
Wewe ni mshamba sana wa habari.Watu waliouliwa ndugu zao kwenye hizo gari wapo ni karibu wote ni kutoka Ulaya na Marekani.Wewe umeshikilia magaidi.
Hao wananchi wa Palestina kuuliwa 100 na kuendelea kwa visingizio vya kigaaidi imeshazoeleka japo inauma sana.
Safari hii Israel imejifedhehesha kwa kupiga nchi marafiki zake.
Wewe kweli ni kichaa. Yaani Mtu kwao ni Canada, Poland na Australia eti mpaka sasa yupo Gaza anatoa misaada. Kama sio gaidi ni nani? Kazi ya kutoa misaada waachiwe Wapalestina wenyewe na Hamas wao, make hao wanaojiita watoa misaada wa Kimataifa wamehongwa na Mataifa ya kiarabu ili kutumika kuwaficha Hamas. Tokeni Gaza lasivyo mtakufa nyote.
 
Hao ni collateral death, nchi iko vitani na magaidi yanatakiwa kuangamizwa.
 
Wewe kweli ni kichaa. Yaani Mtu kwao ni Canada, Poland na Australia eti mpaka sasa yupo Gaza anatoa misaada. Kama sio gaidi ni nani? Kazi ya kutoa misaada waachiwe Wapalestina wenyewe na Hamas wao, make hao wanaojiita watoa misaada wa Kimataifa wamehongwa na Mataifa ya kiarabu ili kutumika kuwaficha Hamas. Tokeni Gaza lasivyo mtakufa nyote.
Hamas kwa hivyo imekuwa ni vuguvugu la kimataifa.Inaungwa mkono na wapenda haki kote duniani.
Ni dalili nzuri ya ushindi.
 
Sasa kama wanaelekea kwenye ushindi hao Hamas wanashindwa vipi kugawa misaada kwa Wapalestina ikiwezekana kabisa kuwatimua Wanajeshi wa IDF kutoka Gaza? Badala yake tunaona Hamas wakiwa wamejificha huku IDF ikifyeka raia wanaotumiwa kama ngao na Hamas.
Wapiganaji imara wanalinda raia wao wasiuliwe,kama Hamas hawawezi kuzuia makombora ya Israel yanayouwa wapalestina ni wazi kwamba Hamas vita imeshawashinda. Kiufupi Hamas wameitoa kafara Gaza yote.
 
Back
Top Bottom