Carbon dioxide SI unaitoa kwa "mlango taka"? Au unataka kuuzaje? Fafanua usikute una biashara mbadala unazunguka bila kujijuaNataka kuuza carbon dioxide yangu ninayopumua nijulishe namna ya kuihifadhi na kuisafirisha kupeleka kwa mnunuzi
puani tunavuta oxygen na kutoa carbon dioxide au hujui hilo?Carbon dioxide SI unaitoa kwa "mlango taka"? Au unataka kuuzaje? Fafanua usikute una biashara mbadala unazunguka bila kujijua
Nataka kuuza carbon dioxide yangu ninayopumua nijulishe namna ya kuihifadhi na kuisafirisha kupeleka kwa mnunuzi
Asante mteja Hewa ya carbon dioxide ninayo kila ni ki breath out naitoa inapotelea hewani tu tatizo ijui namna ya kuihifadhi nikuuzie au nikaiuze viwanda vya Adam na kukuuzia weweUnauza Bei gani mteja nipo.[emoji847][emoji847][emoji847]
Mmh mbona Kuna harufu ya biashara ya nnyaAsante mteja Hewa ya carbon dioxide ninayo kila ni ki breath out naitoa inapotelea hewani tu tatizo ijui namna ya kuihifadhi nikuuzie au nikaiuze viwanda vya Adam na kukuuzia wewe
Watu wanajizolea CO2 kwa matumizi ya nyumbani!Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide
Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?
Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vitu o vyake vya kujazia viko wapi?
Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu mitaani kukusanywa wapumlie carbon dioxide kwenye mfano mifuko ya plastic waenda wakamuuzie Azam?
Wataalamu wa sayansi karibuni mjibu
sio kwa mawazo haya pole sana kwa kujaliwa akili za namna hiyo.Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide
Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?
Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vitu o vyake vya kujazia viko wapi?
Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu mitaani kukusanywa wapumlie carbon dioxide kwenye mfano mifuko ya plastic waenda wakamuuzie Azam?
Wataalamu wa sayansi karibuni mjibu
hahahahaaaaaaJe wataalamu wetu hawawezi tengeneza hewa ya carbon dioxide na kuuzia viwanda? Wakaongeza ajira na kipato?
uko form ngapi mkuuJe wataalamu wetu hawawezi tengeneza hewa ya carbon dioxide na kuuzia viwanda? Wakaongeza ajira na kipato?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carbon dioxide SI unaitoa kwa "mlango taka"? Au unataka kuuzaje? Fafanua usikute una biashara mbadala unazunguka bila kujijua
Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide
Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?
Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vitu o vyake vya kujazia viko wapi?
Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu mitaani kukusanywa wapumlie carbon dioxide kwenye mfano mifuko ya plastic waenda wakamuuzie Azam?
Wataalamu wa sayansi karibuni mjibu
Je wataalamu wetu hawawezi tengeneza hewa ya carbon dioxide na kuuzia viwanda? Wakaongeza ajira na kipato?