Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?

Mkuu Kuna Industrial production of gases lazima wachague njia Bora zaidi, hapo faida kubwa inaangaliwa kwenye kuchagua njia ya uzalishaji. Njia unayoichagua wewe kujaza tanki kubwa lile tani kadhaa gharama za uzalishaji zitakuwa kubwa na hakutakuwa na faida.
 
Ni vizuri ujibu kama kichwani unazo Kwani viwanda vya vinywaji inavyotumia carbon dioxide so wanainunua

Hilo Lori nililopishana nalo limebeba carbon
kwa hiyo unataka waanze kutumia harufu za ushuzi. mkuu una mambo kwelikweli. Watege mtanki sehemu wa kukusanyia hewa kila siku unakwenda kujambia humo kwenye tanki hewa inahifadhiwa. ni mradi mzuri mkuu jaribu tu
 
Ivi shule hazijafunguliwa bado? Au baba bado uhakika ada?
 
Na kwann inabebwa kwa kutumia rolly,Kwan ninzito sana?
 
Watu watalala chini na kunawa uso kwa maji safi maisha yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaikusanyaje hii hewa? Duuu!!
Hii
 
Ukikosa jibu humu, mtafute Polepole.

Kama aliweza kudadavua ile 1.5T kwa kutuwekea hati fungani ambazo hazijaiva na zilizoiva, hili ni dogo kwake.
 
Na kwann inabebwa kwa kutumia rolly,Kwan ninzito sana?
Kama ilivyo mizigo mingine ukubwa wake anategemea na matumizi yako. Kuna Mitungi ya kg10 ,kg 15 na kg25

Pia kuna mitungi ile wanayotumia wanaochomelea mitaani

Ila matumizi ya Bakhresa(Azam) anahitaji tani 20 labda huwezi kubeba Tani hizo kwenye gari ndogo. Ndomaana kuna Tanker maalum kwa kazi hiyo

Semi ile uwezo wake ni Tan30 ila karibu Tan 6 au 7 huwa ni uzito wa lile tenki tu(kwakua limetengenezwa maalum kwa chuma kizito kuhimili presha ya ile gesi baada ya kuicompress) so mara nyingi gesi inayokua mle ni tan 23/24. Ni tofauti na tanker la mafuta
 
Carbon dioxide ni nzito kuliko hewa tunayovuta hivyo ikimwagika itafanya oxygen ipae juu. Eneo hilo litakuwa halina hewa. Watu waliokaribu watasuffocate. Ila kwa sababu ni ndogo tu ya kwenye kwenye gari, haitasambaa sana. Ila ikiwa nyingi kama ile inayotoka kwenye milima au maziwa ya volcano watu wengi sana wangekufa.
 
Sijasema wanaikusanya. Au unataka nikuelezee jinsi in anavyotengenezwa? Weka swali lako vizuri
Asante boss,yaani hii hewa wanaipataje? Ni hii watu na wanyama wanayotoa au nyingine?
 
Asante boss,Mimi nikajua carbon dioxide inatoka kwa wanyama na binadamu tuu,kumbe hata kwenye milima na maziwa?
 
Yaani Hadi nimecheka
kwa hiyo unataka waanze kutumia harufu za ushuzi. mkuu una mambo kwelikweli. Watege mtanki sehemu wa kukusanyia hewa kila siku unakwenda kujambia humo kwenye tanki hewa inahifadhiwa. ni mradi mzuri mkuu jaribu tu
 
Asante mteja Hewa ya carbon dioxide ninayo kila ni ki breath out naitoa inapotelea hewani tu tatizo ijui namna ya kuihifadhi nikuuzie au nikaiuze viwanda vya Adam na kukuuzia wewe
Kuna jinsi ya kuitoa na kuhifadhi sasa uje tuikoroge ndio tuitowe tuki kuchomeka mchomeko mmoja na kutoa tutakupa 100, 000/
Mteja wa kwanza yupo pale juu #7
 
Asante boss,yaani hii hewa wanaipataje? Ni hii watu na wanyama wanayotoa au nyingine?
Ukisema ni hii wanyama wanayotoa ni ndio inafana kama hii hii ila kuipata huwezi kutumia njia ya wanyama kwakua economically hailipi. So inabidi kutengeneza. Au kuikinga(trap)

Sehemu rahisi kabisa na ambayo sio gharama ni kupitia kwenye hivyo visima(Geysers) Rungwe, Mbeya

Hizo geysers zinatoa ges kutoka ardhini kama ilivyo chemchem/ chemchem za maji ya moto
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…