Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?

puani tunavuta oxygen na kutoa carbon dioxide au hujui hilo?

Ndio maana nikakaribisha wanasayansi wajibu sio wewe uliyesoma degree za arts za kukariri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Carbon dioxide sio sumu, haina shida yoyote, hua inatumika sana kwenye matamasha ya muziki wa rock kutengeneza kitu kama moshi jukwaani. Haina harufu yoyote.
 
Nywele za kwapa, pua, masikio na hata sehemu nyeti zitajaa vumbi jeupe...

Utajikunguka na kuendelea na hamsini zako...





Cc: mahondaw
 
asante mtaalamu
 
Hakuna madhara yeyote gari hilo likianguka na kupasuka kwani kwanza carbon dioxide haiwaki.
Kitakachotokea itapotelea hewani.
Madhara kwa binadamu au mnyama atakapowekwa kwenye chumba kilichofungwa na kiwe na carbon dioxide akae kwa muda mrefu atakufa kwa kukosa oxygen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…