New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
chukua toyota sientaKwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze gari nzuri kusafiria na bei yake yard kwakuwa nataka kununua gari niondokane na matumizi ya pikipiki sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chukua toyota sientaKwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze gari nzuri kusafiria na bei yake yard kwakuwa nataka kununua gari niondokane na matumizi ya pikipiki sasa
gujumba gote hugo gwaniiToyota ALPHARD
vitara ip mkuu??Na kodi au
Wewe una busara sana,na wala hii si kejeli . Maana unaweza kushauri suzuki maruti wakati mwenyewe ana budget ya Bentley.unapotaka gar ya familia njia nyepesi ni kujua yafuatayo
1. Bajeti yako ya hilo gari
2. Uwezo wako wa kumudu gharama za mafuta
3. Idadi ya watu kwenye familia
4. Gar ambayo ni chaguo lako kabla hujashauriwa
5. Eneo na accesibilty ya njia ya kufika nyumbani kwako
Toyota Ipsum, Picnic au WishKwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze gari nzuri kusafiria na bei yake yard kwakuwa nataka kununua gari niondokane na matumizi ya pikipiki sasa
Ndoo gari gani hiyo?[emoji3] [emoji3]Kipanya
gujumba gote hugo gwanii
sio kweli...ulaji ni uleule tuu,mbeya to dar natumia 80ltrs,Hilo ni jini mkuu usimshauri. Litamfilisi kwa kubugia mafuta.
hila ulaji wa mafuta unatokana na ukubwa wa cc, mfano Alphard ya 2,400cc sio sawa na 3,000cc. cha muhimu ni kufahamu unamudu gari ya cc ngapi kutokana na kipato chako.Hilo ni jini mkuu usimshauri. Litamfilisi kwa kubugia mafuta.
sio kweli...ulaji ni uleule tuu,mbeya to dar natumia 80ltrs,
Tupe ukubwa wa familia yako.Kwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze gari nzuri kusafiria na bei yake yard kwakuwa nataka kununua gari niondokane na matumizi ya pikipiki sasa
mkuu sio lazima utumie kingereza maranyingine utatia aibu bureNashangaa anakuja kuuliza huku! hapo unakuta mkewe kamshauri tayari ila mbishi kweli kweli! Mimi naweza kumwambie gari zuri kwa familia yangu ni" Mitsubishi Montero - 4m40 turbo - 2800cc. Sasa bei yake ni: Tsh: 20,000,000/= does he has unlimited budget?
mi nashangaa watu wanatiririka mara noah, mara ipsum what if mleta mada ana budget ya lamborghini veneno ila anataka gari yenye nafasi kubwa!!!?Wewe una busara sana,na wala hii si kejeli . Maana unaweza kushauri suzuki maruti wakati mwenyewe ana budget ya Bentley.
mi nashangaa watu wanatiririka mara noah, mara ipsum what if mleta mada ana budget ya lamborghini veneno ila anataka gari yenye nafasi kubwa!!!?