Gari zuri kusafiria kifamilia

Wewe una busara sana,na wala hii si kejeli . Maana unaweza kushauri suzuki maruti wakati mwenyewe ana budget ya Bentley.
 
Kwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze gari nzuri kusafiria na bei yake yard kwakuwa nataka kununua gari niondokane na matumizi ya pikipiki sasa
Toyota Ipsum, Picnic au Wish
 
Kama una pesa nzuri,Rav4 mi naona ipo poa! ila sio hizi new model...
 
Kama uko fresh go for prado au Landcruzer v8
 
mkuu sio lazima utumie kingereza maranyingine utatia aibu bure
 
Wewe una busara sana,na wala hii si kejeli . Maana unaweza kushauri suzuki maruti wakati mwenyewe ana budget ya Bentley.
mi nashangaa watu wanatiririka mara noah, mara ipsum what if mleta mada ana budget ya lamborghini veneno ila anataka gari yenye nafasi kubwa!!!?
 
Samahan kama umekwazika, ila hata kama naandika broken English, mimi kuchanganya kiingereza na Kiswahili is not a choice, inatokea tu.

mi nashangaa watu wanatiririka mara noah, mara ipsum what if mleta mada ana budget ya lamborghini veneno ila anataka gari yenye nafasi kubwa!!!?
 
Dah wabongo bhana sasa kashfa za nn?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…