Gari zuri lakini linapiga kelele sana

Gari zuri lakini linapiga kelele sana

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Linapiga kelele sana, yaani kuanzia gia ya kwanza,
siku ukiendesha hutakaa utake lingine. Ila utafurahi zaidi ukiliendesha kijijini kule hakuna msongamano mkubwa wa watu na nyumba zipo mbalimbali.

Hivi gari la hivyo nifanyeje nalo ili niendelee kulitumia lakini nisisumbue au kukera watu?
 
Ni fasihi au ni nini hii?
 
Broo watakao kuelewa wachache ! Wajanja tumekusosama,gari jipya hiloo eeeeeh teh teh porini pia halitasumbua , zaidi ya kuwapigia kelele Tu mbili na nyani mwana kamua mafuta bei rahisi
 
Hizo gari ndo napenda kuendesha.

Nawezaje kuikodi japo kwa siku moja mkuu?
 
Back
Top Bottom