Gari

Gari

Kawogo f

Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
31
Reaction score
32
Kwa aliyewahi kuagiza gari japani anisaidie hivi gari inayouzwa japani Dora 3000 mpk ikafike hapa kwa kutumia kampuni ya be fowaed inaweza kuchukua tshs mpk inifikie mlengwa
 
ingia tovuti ya tra ingiza taarifa za gari kwenye calculator and tools zao utapewa majibu papo hapo
 
Kwa aliyewahi kuagiza gari japani anisaidie hivi gari inayouzwa japani Dora 3000 mpk ikafike hapa kwa kutumia kampuni ya be fowaed inaweza kuchukua tshs mpk inifikie mlengwa
Tumia site husika ya hiyo gari angalia CIF kwa DAR port, Kisha

Chukua model ya hiyo gari

Weka kwenye Kikokotozi cha kodi hapa: https://gateway.tra.go.tz/umvvs/

Kwenye hesabu utakayopata ongeza kama 0.5M: Usajiri , Agent fees etl
 
Back
Top Bottom