Agustino mwakalinga
New Member
- Sep 1, 2019
- 3
- 0
Naomba mnisaidie gx 100 six aiwaki asubuhi paka jua liwake ndio inawaka nisaidie tatizo nin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana seals ama o-rings za kwenye plugs zimekwisha, hivyo wakati wa usiku engine/chuma inapo pigwa baridi hupelekea umande kupenya kwenye nafasi zilizo wazi kwenye gasket seals/o-rings. Baada ya umande kujijenga basi hukusanya maji maji ambayo hudondokea kwenye plugs, hivyo basi asubuhi utakapo washa gari lako plugs hazito unguwa ili kutowa cheche ili kuwasha engine yako kwakuwa plugs zitakuwa zimelowa kwa maji maji.Naomba mnisaidie gx 100 six aiwaki asubuhi paka jua liwake ndio inawaka nisaidie tatizo nin?