Gari

Gari

Naomba mnisaidie gx 100 six aiwaki asubuhi paka jua liwake ndio inawaka nisaidie tatizo nin?
Yawezekana seals ama o-rings za kwenye plugs zimekwisha, hivyo wakati wa usiku engine/chuma inapo pigwa baridi hupelekea umande kupenya kwenye nafasi zilizo wazi kwenye gasket seals/o-rings. Baada ya umande kujijenga basi hukusanya maji maji ambayo hudondokea kwenye plugs, hivyo basi asubuhi utakapo washa gari lako plugs hazito unguwa ili kutowa cheche ili kuwasha engine yako kwakuwa plugs zitakuwa zimelowa kwa maji maji.
Na inapo fika mchana baada ya jua kuwaka, basi lile joto husababisha plugs kukauka na ukiliwasha litawaka pasipo na usumbufi.
Kwa hivyo, hapo kwenye engine yako pana uwezekano mkubwa wa kwamba gasket seal/o-rings zimekwisha.
 
Back
Top Bottom