Wahusika hapo juu yaani gary(maraclara) na andrew(second chance) wote wameigiza role moja kwenye tamthilia hizo tofauti kila mmoja amejaribu kuvaa uhusika vilivyo huku visa vya vyao wote vinafanana mapenza na pesa.andrew wa second chance yupo na issabela arroyo kwa sababu ya pesa na mapenzi,vile vile garry wa maraclara anamfukuzia alvira sababu ya mapenzi ya dhati aliyonayo kwa binti huyo huku pesa na mali zikiwa ni sababu mojawapo.wote wanakufa kwa ajuli ya mapenzi na tamaa za mali.nataka kujua tu nani kati ya hawa wawili kamzidi mwenzie kubeba uhusika vilivyo????