Gary Linker mchezaji aliecheza Mpira wa kulipwa miaka 16 bila kupata kadi ya njano wala nyekundu.

Kituko kikubwa kwake ni pale alipojinyea uwanjani kisha akajifuta pale chini..[emoji23][emoji1787]

World cup 1990 game na Ireland kama sikosei.

Pia aliwahi kutangaza kwenye video akiwa kavaa bukta tu, akitimiza ahadi yake aliyoweka kuwa endapo Leicester city atachukua ndoo basi yeye atatangaza uchi.
 
Ile Penalty waliyoipata England against Cameroon kwenye World Cup alistahili Kadi Kubwa Sana (In Short Alidive) basi tu kipindi hicho kulikuwa hakuna kadi nyingi kwa simulators....

Pia as a Striker kupata kadi nyingi ni kujitakia tu....
Kama wanavyojitakiaga wakina Diego Costa
 
Duuh!
 
Ile Penalty waliyoipata England against Cameroon kwenye World Cup alistahili Kadi Kubwa Sana (In Short Alidive) basi tu kipindi hicho kulikuwa hakuna kadi nyingi kwa simulators....

Pia as a Striker kupata kadi nyingi ni kujitakia tu....

Kwani Gary Linker ni Gary Lineker?
 
Siku hizi ni ngumu Sana kumalizia hata nusu msimu tu bila kadi. Miaka ya hivi karibuni waliofungia kutopata kadi walau nyekundu nadhani ni iniesta na Philip lahm
 
Ile Penalty waliyoipata England against Cameroon kwenye World Cup alistahili Kadi Kubwa Sana (In Short Alidive) basi tu kipindi hicho kulikuwa hakuna kadi nyingi kwa simulators....

Pia as a Striker kupata kadi nyingi ni kujitakia tu....
Tafuta rekodi za straika wa zamani wa Bolton Wonderers, Kevin Davies halafu uitathimini kauli yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…