Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
Tunaweza kusema huyu ndio mchezaji "Mtakatifu" kuliko wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie forward mwenye kadi ya njano chini ya mbili tuu.Angekuwa beki ningemwelewa
Kama wanavyojitakiaga wakina Diego CostaIle Penalty waliyoipata England against Cameroon kwenye World Cup alistahili Kadi Kubwa Sana (In Short Alidive) basi tu kipindi hicho kulikuwa hakuna kadi nyingi kwa simulators....
Pia as a Striker kupata kadi nyingi ni kujitakia tu....
na pepe,Paul scholes, ramos nadhani ndio mabingwa wa kadi nyekundu na njano.
Tena huyu ni full/wing backKuna na Philip lahm
Duuh!Kituko kikubwa kwake ni pale alipojinyea uwanjani kisha akajifuta pale chini..[emoji23][emoji1787]
World cup 1990 game na Ireland kama sikosei.
Pia aliwahi kutangaza kwenye video akiwa kavaa bukta tu, akitimiza ahadi yake aliyoweka kuwa endapo Leicester city atachukua ndoo basi yeye atatangaza uchi.
Ile Penalty waliyoipata England against Cameroon kwenye World Cup alistahili Kadi Kubwa Sana (In Short Alidive) basi tu kipindi hicho kulikuwa hakuna kadi nyingi kwa simulators....
Pia as a Striker kupata kadi nyingi ni kujitakia tu....
jamaa amekopi na kupaste kutoka kwenye hicho ki source chake wamekosea na yeye kakosea ni LINEKERKwani Gary Linker ni Gary Lineker?
Pepe ndio kiboko yaoPaul scholes, ramos nadhani ndio mabingwa wa kadi nyekundu na njano.
Tafuta rekodi za straika wa zamani wa Bolton Wonderers, Kevin Davies halafu uitathimini kauli yakoIle Penalty waliyoipata England against Cameroon kwenye World Cup alistahili Kadi Kubwa Sana (In Short Alidive) basi tu kipindi hicho kulikuwa hakuna kadi nyingi kwa simulators....
Pia as a Striker kupata kadi nyingi ni kujitakia tu....