Nahitaji kuwekeza katika kufunga mifumo ya matumizi ya gas katika magari, na kua na kituo cha gas refueling. Mtaji ninao ila sijui hata pa kuanzia. Naombeni mtiririko mzima.

Okay unamaanisha uko na mtaji ila utaalamu wa hiyo kazi hauna.
Nicheki pm nikuunganishe na jamaa yangu mmoja yuko UDSM anajihusisha na hicho kitengo atakuelekeza kila kitu.