Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay unamaanisha uko na mtaji ila utaalamu wa hiyo kazi hauna.Nahitaji kuwekeza katika kufunga mifumo ya matumizi ya gas katika magari, na kua na kituo cha gas refueling. Mtaji ninao ila sijui hata pa kuanzia. Naombeni mtiririko mzima.