cc Mshana Jr MziziMkavuHopefully,
Mzizi Mkavu na Mshana junior, watakusaidia...
Tumia dawa inaitwa Relcer gel au Altapham zote hizo ni za maji,pia uende hospitali inawezekana una vidonda vya tumbo...wakuu habari, naandika hii thread nikiwa kitandani siku ya tatu, nlienda hospitali kupima wakaniambia nina U.T.I nimetumia dawa za Cpro....(sijui jina lake vizuri) lakini hazikuniletea mabadiliko yeyote nikaamua kurudi tena hospitali wakanipa dawa zingine Nitro....(pia sikumbuki mbele kunaendeleaje)
Atleast hizi dawa zimenipa mabadiliko kidogo ila tatizo linakuja kwenye kutapika kila nikila chakula au nikinywa maji natapika sababu tumbo limejaa mno gesi, leo mchana nilijaribu kumeza Mg lakini bado tatizo linaendelea...Naombeni msaada wakuu sababu sijala chakula cha kueleweka tokea nianze kutumia hizi dawa mpya
Maradhi ya UTI siku hizi yamekuwa ni Maradhi sugu yasiyoweza kusikia dawa za Hospitali utamaliza dozi za dawa za Hospitli sio rahisi kupona.Ukitaka kupona. Nitafute kwa wakati wako nipate kukupa dawa zangu upate kupona dawa zangu ni Dawa za asili ukitumia kwa siku 21 hayo maradhi yako ya UTI utayasikia kwenye Redio na Magazeti utapona kabisa. Ukihitaji matibabu toka kwanguwakuu habari, naandika hii thread nikiwa kitandani siku ya tatu, nlienda hospitali kupima wakaniambia nina U.T.I nimetumia dawa za Cpro....(sijui jina lake vizuri) lakini hazikuniletea mabadiliko yeyote nikaamua kurudi tena hospitali wakanipa dawa zingine Nitro....(pia sikumbuki mbele kunaendeleaje)