Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,303
- 7,629
wakuu habari, naandika hii thread nikiwa kitandani siku ya tatu, nlienda hospitali kupima wakaniambia nina U.T.I nimetumia dawa za Cpro....(sijui jina lake vizuri) lakini hazikuniletea mabadiliko yeyote nikaamua kurudi tena hospitali wakanipa dawa zingine Nitro....(pia sikumbuki mbele kunaendeleaje)
Atleast hizi dawa zimenipa mabadiliko kidogo ila tatizo linakuja kwenye kutapika kila nikila chakula au nikinywa maji natapika sababu tumbo limejaa mno gesi, leo mchana nilijaribu kumeza Mg lakini bado tatizo linaendelea...Naombeni msaada wakuu sababu sijala chakula cha kueleweka tokea nianze kutumia hizi dawa mpya