Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe apumzike kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm imejaa mapumbavu kama viongoz wao 🪛 🪛 🪛 🪛 🪛zingatia maelezo, uchambuzi na ufafanuzi wa kitaalamu kwa kutulia gentleman, itakusaiadia sana hiyo 🐒
Gentleman wewe hoja Yako ni 'kibaraka tu" au na ww ni kabaraka wa ccm, maana huna hoja nyingine ya kumsingizia, umeona na ww ndo hoja hiyo? Tafuta hoja nyingine BAsi duuu, alafu unajiita mchambuzi wa siasa? Wachambuzi wanatakuwa na mawazo kama Yako hayo?huo ni upotoshaji,
iko wazi kwamba huyo muungwana ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anae jaribu kwa nguvu zote kurejesha ukoloni mambo leo nchini Tanzania kwa maslahi yake binafsi, familia yake na hao mabwenyenye yanayombackup,
Hata hivyo,
Jan. 22,2025 kibaraka huyu wa mkoloni atawajibishwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kwa haki, uhuru na uwazi sana kwenye sanduku la kura ili iwe fundisho kwa wenye tamaa kama za huyo muungwana 🐒
hatoboi mtu wako==
Binafsi Ninamuunga mkono Mhe TUNDU LISSU. na Nina sababu zangu za Msingi kutokana na Nini anakiwazia katika kuboresha mifumo ya Taasisi (Ndani ya CHADEMA). Leo nitajadili Kwa ufupi hoja yake ya kuondoa masharti ya ibara ya 6.3.2(c).
Hapo awali Kuondoa ukomo wa kuongoza Walikuwa sahihi Kwa wakati Ule Kwa sababu Chama kilikuwa Bado kichanga na hakikuwa na rasilimali Watu ya kutosha. Kwa sasa CHAMA kimepanuka mara dufu, sasa Kuna faida ya KUWEKA UKOMO WA KUONGOZA
1. Kwanza itamfanya kiongozi atimize majukumu yake Kwa Wakati na ufanisi (sababu Pana ukomo), na yeye kama kiongozi Mkuu wa chama ngazi husika (Msingi,Tawi,Kata,Jimbo,Wilaya, Mkoa,Kanda au Taifa) Akiwa na matarajio ya kujenga uimara na nguvu basi atatumia nguvu ya Ziada Ili kukimbizana na muda.
2. Pili, itapunguza ufuasi usio na msingi (UCHAWA Kwa Lugha isiyo rasmi) ambao hulenga kumpamba kiongozi Fulani. Hili limeanza kuonekana ndani ya Chama chetu. Kuna Haja ya kukomesha hili Kwa kubadili sehemu ya masharti ya katiba yetu
3. Itatuondolea uvivu wa kiutumishi Katika nafasi za uongozi ndani ya CHAMA. Kukiwa hakuna ukomo kiongozi anaweza bweteka na kuona Kwamba naweza ongoza Kwa awamu nyingi. Tukiweka ukomo Kila kiongozi Atakuwa anatazama muda uliobaki na hiyo Itakuwa kengeld muamsho tosha. Na ikumbukwe Kila kiongozi hupenda kuacha alama Kubwa kuwazidi Wengine kiuongozi
4. Itampa fursa kiongozi wa Wakati huo kufua na kuandaa vijana Wengi Ambao wanaweza tumika Kwa Siku za usoni baada ya muda wake kumalizika (sababu Pana ukomo)
5. Itaongeza Ari ya kuaminiana ndani ya taasisi. Kuondoa ukomo wa kuongoza Mara nyingi humfanya Kiongozi Kuwa Mfalme wa Taasisi. Na pengine hujenga makundi ambayo yatamlinda nyakati za chaguzi. Makundi haya hutumika vibaya na kupaka tope upande Ambao unashindana na mwenyekiti wa Wakati huo na kupelekea kutoaminiana ndani ya Chama. Hili kwetu limeanza kushamiri
Kwa vyovyote vile, kama tunaungana Katika kuboresha mifumo Yetu basi #TUNDU LISSU ni mgombea sahihi Kwa awamu hii.
Gaspar Sakalani
kwani hoja inasemaje hapo juu gentleman?Gentleman wewe hoja Yako ni 'kibaraka tu" au na ww ni kabaraka wa ccm, maana huna hoja nyingine ya kumsingizia, umeona na ww ndo hoja hiyo? Tafuta hoja nyingine BAsi duuu, alafu unajiita mchambuzi wa siasa? Wachambuzi wanatakuwa na mawazo kama Yako hayo?
Gentleman mm huwa nakuelewa kabisa , huwa hatutaki kuitesa nafsi Yako, kwbb unajua Mbowe ni ccm b ,hivyo Lisu hawezi kupita sio? Upo vzr 😆😆😆😆😆kwani hoja inasemaje hapo juu gentleman?
haimuhusu kibaraka kweli?
it's simple,
hapo kwenye kibaraka tafuta jina upendalo kisha uliweke hapo. But kibaraka ni kibaraka tu wa mabwenyenye ya magharibi, na hakuna namna nyingine gentleman,
hata hivyo,
nisingeza kukaa kimya mtoa hoja akijaribu kupotosha wadau kwa kumpamba kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na makelele yake.
hiyo haikubaliki gentleman 🐒
Mbowe atokeMbona anapigwa spana kila kona