Gate of All Nations also known as Gate of Xerses at Persepolis, Iran 486-465 BC

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Gate of All Nations also known as Gate of Xerses at Persepolis, Iran 486-465 BC

1640283264882.png

Haya mawe yamesimama bila nguzo ya chuma, utaalamu wa kuunganisha mawe namna hii haupo tena. Vifaa walivyotumia kuchocngea mawe yawe na umbo la beast. Kweli zamani kulikua na utaalamu.
 
Gate of All Nations also known as Gate of Xerses at Persepolis, Iran 486-465 BC

View attachment 2054976

Nilidhani unazungumzia eneoa hili liitwalo Thermopylae
Chini ya mfalme Xerxes I, jeshi la Persian lilivamia ugiriki kupitia pwani ya mashariki akishirikiana na jeshi la maji la Persian lililokua linapita pwani.

Ili kufika sehemu walipokua wanaeleka katika eneo linaloitwa Attica ambapo pia attica ilikua ni mji unaoongoozwa na Athens, Jeshi la Persia ilitakiwa lipite sehemu moja ya pwani inayoitwa Thermopylae (au “Hot Gates,” ilijulikana hivo kwakua ilikua karibu na chemichemi ya sulfur).

Katika kipindi cha majira ya joto ya mwaka 480 B.C., Leonidas alikua anaongoza jeshi la wat 6,000 mpaka 7,000 kutoka miji mbalimbali iliyopo ugiriki ukijumuisha na wanajeshi 300 kutoka katika mji wake wa Sparta Aliongoza jeshi hilo kuziwia jeshi la Persia kupita ile sehemu inayoitwa Thermopylae.
 
Chini ya mfalme Xerxes I, jeshi la Persian lilivamia ugiriki kupitia pwani ya mashariki akishirikiana na jeshi la maji la Persian lililokua linapita pwani. Ili kufika sehemu walipokua wanaeleka katika eneo...
..."Spartans never retreat, spartans never surrender. This is our law....."
 
Iran ile nchi ngoma ngumu

Watu raia wako wako very intelligent

Ova
 
... hivi mnaposikia Malkia Esther hakuwa na namna zaidi ya kuingia malangoni pa mfalme bila ruhusa kwa rehani ya maisha yake kulia kwa ajili ya watu wake mnadhani ni hadithi za kutunga au sio? Watumwa na wafungwa (waisrael) waliteseka kweli kweli sio mchezo; hizo ni kazi za kitumwa! Mfalme akitaka "iwe, inakuwa" no matter what!

Hayo masanamu mawili watu kwa maelfu wenye kila aina ya skill na vifaa walitafutwa kwa amri ya Mfalme toka pande zote za dunia kuyachonga na kuyatia nakshi! Hadi yanakamilika yumkini maelfu kwa maelfu ya binadamu waliteketea sio lelemama! Sky Eclat.
 
Nilidhani unazungumzia eneoa hili liitwalo Thermopylae
Chini ya mfalme Xerxes I, jeshi la Persian lilivamia ugiriki kupitia pwani ya mashariki akishirikiana na jeshi la maji la Persian lililokua linapita pwani.

Ili kufika sehemu walipokua wanaeleka katika eneo linaloitwa Attica ambapo pia attica ilikua ni mji unaoongoozwa na Athens, Jeshi la Persia ilitakiwa lipite sehemu moja ya pwani inayoitwa Thermopylae (au “Hot Gates,” ilijulikana hivo kwakua ilikua karibu na chemichemi ya sulfur).

Katika kipindi cha majira ya joto ya mwaka 480 B.C., Leonidas alikua anaongoza jeshi la wat 6,000 mpaka 7,000 kutoka miji mbalimbali iliyopo ugiriki ukijumuisha na wanajeshi 300 kutoka katika mji wake wa Sparta Aliongoza jeshi hilo kuziwia jeshi la Persia kupita ile sehemu inayoitwa Thermopylae.
Hapana, Persesepolis iko Iran Kusini, si mbali na mji mkubwa wa Shiraz. Thermopylae iko Ugiriki, umbali wa kilomita 2000 hivi
 
Teknolojia mujaraab kabisa
Gate of All Nations also known as Gate of Xerses at Persepolis, Iran 486-465 BC

View attachment 2054976
Haya mawe yamesimama bila nguzo ya chuma, utaalamu wa kuunganisha mawe namna hii haupo tena. Vifaa walivyotumia kuchocngea mawe yawe na umbo la beast. Kweli zamani kulikua na utaalamu.

Jamaa wa kale teknolojia yao ilikuwa kali sana. Full analog lakini output kali sana
 
Naongezea swali? waajemi na hawa wa Elam ambao wako kama waethiopia wana uhusianio gani?

View attachment 2057406
Picha zako za askari si kutoka Persepolis bali kutoka mji wa kifalme tofauti wa Uajemi ambao ni Susa (Shush). Susa ni mji unaotajwa katika Biblia. wafalme wa Uajemi ya Kale walitumia miji minne kama miji mikuu.
Elam ilikuwa milki iliyotangulia katika kusini-magharibi mwa Iran kabla ya milki ya Uajemi yenyewe. Susa ilikuwapo katia maeneo ya Elam. Leo hii panaitwa Khuzestan, pamoja na milima jirani.
Uhusiano na Ethiopia? Walijuana na kufanya biashara kati yake. Menginevyo? Si nchi jirani.
 
Na hawa waelam walikuwa ni blacks?
 
Na hawa waelam walikuwa ni blacks?
si Waafrika. Elam iko karibu na ghuba ya Uajemi (kama UAE, Kuwait) na watu hao ni weusiweusi kiasi, sawa ukiangalia watu katika maeneo mengine penye jua kali (wako Wahindi wa Kusini walio weusi kuliko Watanzania).
 
Back
Top Bottom