Gatho Beevans: Mkongwe wa Muziki nchini Congo

Gatho Beevans: Mkongwe wa Muziki nchini Congo

Nakubalina nawe ingawa hiyo miaka ya 90 unayosema ilitawaliwa na baadhi ya niliowataja kama Aurlus Mabele, Pepe Kalle, Nyboma na Papa Wemba Jules Wembadio Shungu le grand Contoumier du la Village Morokai.

Papa wemba is of another generation. He has hits za early 80's kama 'santa', 'ofukutano' nk. Some of them are soundtracks to 'la vie est belle' the movie he co-starred with Petit Kale (alias pepe kale, son of grand kale).

Sous une belle saison, l'Afrique a entone
Sa melopee d'amour, au beau pays d'azur
Toi ma belle Africaine, aux yeux remplis d'amour ...

so he is definitely from the old school, sio 90's. (minor correction: molokai, not morokai)
 
Mkuu, huyu jamaa was a Michael Jackson fan and wanted to demonstrate that another type of Congolese music was possible. Kuna hata a lingala version of "Bad (who's bad) that he sang, mi sikuipenda coz it wasn't so original.

Mapema in the 90's ali-retire from music and the last time I heard of him he was doing his MA in business administration in the US where he lived with his family. Umenikumbusha, I'm still to share with you my Papa Wemba collection, ila tatizo you are nowhere to be seen, you are Invisible. Sijui itakuaje hapo. lol


Kumbe nawe wa long umekula chumvi mingi
 
[video=youtube_share;354Ez82qw60]http://youtu.be/354Ez82qw60[/video]

Weekend njema waungwana...
 
mkuu safari,

nafikiri aliyekuwa akijifananisha zaidi na michael jackson na hata kuimba "who's bad whos bad" alikuwa stino wa viva la musica, band iliyoanzishwa na papa wemba na baadaye akamwachia reddy amisi na huyo stino.

Band hii ni kama zaiko langalanga b kwa sababu imezalisha pia wanamuziki wengi wazuri kama koffi olomide aliyepita hapo kwa muda mfupi.



koffi olomide akiwa yanki na papa wemba: koffi olomide & papa wemba synza / debaba celio declarant / djomegabp - youtube


ni stino kwenye wimbo wake wa mista
 
Last edited by a moderator:
Jamaa kaanza kum-copy Michael Jackson siku nyingi sana na kama sikosei miaka ya 80 mwishoni. Kuna nyimbo nyingi tu kachukua maneno au chezaji ya MJ. Zamani alikuwa na hayo maneno "Who's bad...."

Huu wimbo wa Mista kweli kaiga sana ingawa wimbo kaulipuwa mno kwa sababu ya kufikiria zaidi kuiga.
[Congo] Stino Mubi -- Mista - YouTube

Ila kuna huu wa TANIA ambao kwa kweli mzuri na Papa Wemba aliokoa mno kwenye wimbo huu kwa sauti yake. Ila yeye zaidi ya kumuiga MJ ni balaa tupu maana hawezi kucheza wala kuimba......



ni stino kwenye wimbo wake wa mista
 
Last edited by a moderator:
Huyu kijana Congo alivuma mno ukanda huu wa dunia kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 kabla ya kupotea ghafla katikati ya miaka ya 90. Hivi bado yupo hai, yupo wapi na anafanya nini?

1469635841766.jpg


=======
UPDATE:

Anaitwa Beevans Gatho, na ni mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Congo ambaye alitamba sana kwenye miaka ya tisini na vibao kama Ngoma ya kwetu, Azalaki Awa na vingine vingi amabavyo vilipigwa sana enzi hizo kwenye redio stations, majumbani na kwenye sehemu mbalimbali za starehe.

Gatho alianza harakati zake za muziki kwenye miaka hiyo ya 90 na “Zouk machine” Tshala Muana, anadai aliandika nyimbo yake ya kwanza akiwa na umri mdogo ‘Lili’ akiwa na umri mdogo sana wa miaka 6….!

Baadae kwenye miaka ya katikati ya tisini alifanikiwa kutoa album yenye nyimbo nilizozitaja hapo juu ambapo alipata mafanikio makubwa sana na kuwashangaza wakongwe wa muziki wa Congo ambako Ghato hakuwa maarufu kabisa wakati huo.

Lakini kutokana na migogoro ya kisiasa isiyoisha ndani ya nchi yake ya Congo, Ghato aliamua “kujilipua” kwa kuhamia Marekani ambako ameweka makazi yake huko Georgia, Atlanta ambako anaendelea na shughuli za muziki japo amaekuwa hasikiki sana sehemu nyingi duniani….

image.png
 
Duuuh basi ni full kuchanganya mambo, wengine wanasema alifungwa sababu ya madawa
 
Back
Top Bottom