Gaucho akamatwa Paraguay akiwa na Hati ya Kusafiria inayomtambulisha yeye kama raia wa Paraguay

Mkuu pamoja na sifa zote za wabrazil ulizoandika usikute hata kibaha tu hujawahi kuvuka.
 
Mkuu pamoja na sifa zote za wabrazil ulizoandika usikute hata kibaha tu hujawahi kuvuka.
Eti eeeh?Inaweza kuwa kweli.Maana hata yard yangu sijaitembelea kuifahamu vyema, sasa Kibaha nitapafahamuje?

Wewe najua umetembea sana hadi Geography ulishafika.
 
Kaka pele mwenyewe anakwambia vitu afanyavo gaucho na mpira uwanjan hajawai kuviweza maradona kaja messi...kina ronaldo wapo kibao ila gaucho mmoja tu
 
Passport yake ilizuiwa na mamlaka Brazili baada ya kufanya uharibifu mkubwa wa mazingira kwa kuchimba mabwawa ya kufugia samaki bila kibali hivyo kupigwa faini USD 2m ama na zaidi hivi. Pesa aliyoshindwa kuilipa. Cha ajabu mwaka Jana Brazil ilimpa ubalozi wa utalii kazi inayomfanya apaswe kusafiri nje ya nchi ilihali passport yake wameishikiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya 80 Maradona akiwa kwenye peak wewe umemuona wapi wakati TV bongo ilikuwa Ikulu tu.

Ama ndo zile za kuangalia YouTube na kusikiliza mipira radioni.

Burudani ya soka Gaucho alikuwa namba nyingine aina LA soka lake hakuna mfanowe, tuache unafiki soka LA Dinho ilikuwa ni habari nyingine..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnamuongelea gaucho huyu anaepiga mpira kuelekea kwenye mwamba akirudiarudia bila kukosea, ***** hakuna kama huyu kiumbe ataetokea labda mwaka 2290, gaucho ni mtu mwengine, hata hao waliopita wamepiga saluti kwake.
 
mnamuongelea gaucho huyu anaepiga mpira kuelekea kwenye mwamba akirudiarudia bila kukosea, ***** hakuna kama huyu kiumbe ataetokea labda mwaka 2290, gaucho ni mtu mwengine, hata hao waliopita wamepiga saluti kwake.
Ile video ya nike ndo video ya kwanza kuwa na views milioni moja
 

Usijeshangaa kuwa hiyo miaka ya 1980s ambayo Dona alikuwa mchawi kwenye soka huyo jamaa anyejitangazia kamshuhudia Live alikuwa hata Shule ya Msingi hajaanza.

Hata zile Fainali za kombe la Dunia mwaka 1990 basi goli la Nape (la Mkono) alilowafunga Waingereza ameliona YouTube kana nilivyoliona Mimi.

Nadhani Maradona aliyemuona yeye ni yule Teja wa kuanzia miaka ya 1994 pale Barcelona.

WaTz kwa kujifanya wajuaji hawazidiwi.
 
Hayo hayana budi kusemwa ili torati litimie
 
Ulimshuhudia akicheza au ulisimuliwa tu na wewe unampamba
 
Ni maneno yako binafc mjomba,,wenye kuujua mpira wanajua nani alikuwa mkali katika soka,,
Wacheza mpira waliishia Sasa hivi n wafungaji tu ndo wamebaki . Mpira Ni zaidi ya kufunga inatakiwa mbwembwe na manjonjo mashabiki wafurahi . Ronaldino na zidane waliovyo staafu na mpira ukaishia hapo. Hawa wengine sjui mess na ronaldo ni wafungaji syo wachezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengiwao ninaobishananao humu ni makinda,,inaongea kishabiki na si kisoka 😁 asilimia kubwa ya watanzania bado washamba kwenye mpira hawajui nini maana ya mpira wanajibu wanavyojisikia,,mpo nyuma sana uyanga na usimba umewapofusha,,mnatakiwa mpate darsa kidogo, hata kwenye hoa mnafeli sana 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…