Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Gaucho kanikera kweli, yaani kitendo cha kuja kujiunga Yanga anatengenezea kiki?Sawa Afisa Uhamiaji wa Paraguay tumekusikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaucho kanikera kweli, yaani kitendo cha kuja kujiunga Yanga anatengenezea kiki?Sawa Afisa Uhamiaji wa Paraguay tumekusikia
Mkuu pamoja na sifa zote za wabrazil ulizoandika usikute hata kibaha tu hujawahi kuvuka.Ni kawaida yao. Wabrazil walio wengi ni wahuni sana, hapo alipo alikuwa na kesi ya kukwepa kodi na sijui ile kesi iliishaje.
Ronaldo De Lima naye ana yake.Vipi Edmundo? huyu ndo balaa lao, alikuwa haishi kutwangana ngumi na raia bar akishalewa.
Yaani Brazil maisha kule ni soka, bata la ukweli, pombe, mademu, unga, wizi wa magari na fedha, utapeli, ujambazi, ugomvi kidogo ngumi, n.k .What a hooligan life in Brazil!
Eti eeeh?Inaweza kuwa kweli.Maana hata yard yangu sijaitembelea kuifahamu vyema, sasa Kibaha nitapafahamuje?Mkuu pamoja na sifa zote za wabrazil ulizoandika usikute hata kibaha tu hujawahi kuvuka.
Kaka pele mwenyewe anakwambia vitu afanyavo gaucho na mpira uwanjan hajawai kuviweza maradona kaja messi...kina ronaldo wapo kibao ila gaucho mmoja tuDah wabongo bwana,,,,umempamba sanaa wakati sifa hizo hana 😂😂 ckatai hakua mchezaji mzuri, ni mzuri ila co kiviile,,,,alikuwepo mtu machachari apa duniani Diego Armando Maradona,,gaucho haguc ata nusu ya uyu mtukutu,, Uyu ndie alinifanya niupende mpira,,,baada ya kustaafu kwake ckuona mwingine wa kunipa radha ya mpira mpaka alipokuja Messi ndani ya hii dunia.
Maradona heshima kwako🙏🏿
Messi heshima kwako🙏🏿
Uyo ndo dinho...hakuna kilichoniuma kama kuona mwisho wakeHuyu mtu ndo alifanya me niwe nafatilia mipira khaaaaaaaaah, pongezi kwakeeeeeeeee saint gauchoooooooooooooooh, lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya 80 Maradona akiwa kwenye peak wewe umemuona wapi wakati TV bongo ilikuwa Ikulu tu.Dah wabongo bwana,,,,umempamba sanaa wakati sifa hizo hana [emoji23][emoji23] ckatai hakua mchezaji mzuri, ni mzuri ila co kiviile,,,,alikuwepo mtu machachari apa duniani Diego Armando Maradona,,gaucho haguc ata nusu ya uyu mtukutu,, Uyu ndie alinifanya niupende mpira,,,baada ya kustaafu kwake ckuona mwingine wa kunipa radha ya mpira mpaka alipokuja Messi ndani ya hii dunia.
Maradona heshima kwako[emoji1545]
Messi heshima kwako[emoji1545]
Afu naona kawa kweny pick kipindi kifupi na katundika daluga, daaaaaaaaaaaaaah hatokuja kutokea km huyuuuuuu. NeveeeeeeerUyo ndo dinho...hakuna kilichoniuma kama kuona mwisho wake
Afu naona kawa kweny pick kipindi kifupi na katundika daluga, daaaaaaaaaaaaaah hatokuja kutokea km huyuuuuuu. Neveeeeeeer
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya 80 Maradona akiwa kwenye peak wewe umemuona wapi wakati TV bongo ilikuwa Ikulu tu.
Ama ndo zile za kuangalia YouTube na kusikiliza mipira radioni.
Burudani ya soka Gaucho alikuwa namba nyingine aina LA soka lake hakuna mfanowe, tuache unafiki soka LA Dinho ilikuwa ni habari nyingine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile video ya nike ndo video ya kwanza kuwa na views milioni mojamnamuongelea gaucho huyu anaepiga mpira kuelekea kwenye mwamba akirudiarudia bila kukosea, ***** hakuna kama huyu kiumbe ataetokea labda mwaka 2290, gaucho ni mtu mwengine, hata hao waliopita wamepiga saluti kwake.
Miaka ya 80 Maradona akiwa kwenye peak wewe umemuona wapi wakati TV bongo ilikuwa Ikulu tu.
Ama ndo zile za kuangalia YouTube na kusikiliza mipira radioni.
Burudani ya soka Gaucho alikuwa namba nyingine aina LA soka lake hakuna mfanowe, tuache unafiki soka LA Dinho ilikuwa ni habari nyingine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo hayana budi kusemwa ili torati litimieMkongwe wa klabu ya Barcelona aliyekuwa Mchezaji machachari, aliyenifanya niipende Barcelona mpaka leo hii enzi hizo nikiangalia mpira nataka ashike tu mpira yeye.
Tufungwe tushinde ila awe kacheza tu. Akipata mara apige kisigino aweke mpira gambani huku hakauki kusmile na mwenye muonekano wa kitofauti na unaokufanya umjue haraka akishika mpira kutokana na nywele zake.
Basi dunia inasonga kasi sana, fundi Mkonge huyo kakamatwa jana na kaka yake na passwort zinazodaiwa ni feki yaani zimeandikwa kuwa ni raia wa Paraguay kitu ambacho sio kweli. Kama kaida ya gaucho ikumbukwe askari baada ya kumkamata ikabidi wamuombe picha
Hao ndo Wabrazili bana jasiri haachi asili...kijana mcha Mungu kweli wa kibrazili alekuwa hana makuu alikuwa kaka tu
********
The former Barcelona and PSG star was detained in the South American country after allegedly producing false documentation
Brazil legend Ronaldinho has been arrested in Paraguay for allegedly using false documentation to enter the South American country.
The 39-year-old, who won the World Cup with Brazil in 2002, was detained in the Resort Yacht & Golf Club Paraguayo along with his brother Roberto on Wednesday night, the Ministry of Interior of Paraguay has confirmed.
According to La Nacion, passports were found in the hotel bearing the names of Ronaldinho and Roberto with Paraguayan nationality.
Both the brothers remained in the hotel suite overnight, with Paraguayan authorities due to issue a statement on Thursday morning.
An official statement from the Paraguayan police had earlier revealed that Ronaldinho and his entourage had been invited to Paraguay by casino owner Nelson Belotti.
The former Brazil international was expected to hold several publicity events, with the media invited to witness his interaction with fans and dignitaries.
Ronaldinho is currently without a Brazilian passport because of an environmental fine he received in 2018.
The former Barcelona star and his brother were convicted of illegally building a fishing trap at Lake Guaiba in 2015 without proper licensing in a permanent preservation area.
That conviction saw the duo handed an $8.5 million (£6.5m) fine in November 2018 and after failing to pay up, Brazil's Superior Court of Justice decided to stop Ronaldinho from being able to leave the country.
Despite being unable to travel out of Brazil, Ronaldinho was unveiled as one of the country's new ambassadors for tourism in September last year.
Literally stranded in his homeland, the former AC Milan star said at the time that he was trying to make the most of his situation after accepting a role to promote Brazil's tourism.
"Tourism is very important for generating jobs and regaining our image internationally," Ronaldinho said at his unveiling as an ambassador.
Ronaldinho enjoyed a distinguished playing career across South America and Europe - winning the Champions League, La Liga, Serie A and Copa Libertadores.
He also secured numerous individual honours, including the 2005 Ballon d'Or and the FIFA World Player of the Year in 2004 and 2005.
The Porto Alegre-born forward lifted the World Cup in South Korea and Japan in 2002 and won the Copa America with his national team in 1999.
Dah wabongo bwana,,,,umempamba sanaa wakati sifa hizo hana [emoji23][emoji23] ckatai hakua mchezaji mzuri, ni mzuri ila co kiviile,,,,alikuwepo mtu machachari apa duniani Diego Armando Maradona,,gaucho haguc ata nusu ya uyu mtukutu,, Uyu ndie alinifanya niupende mpira,,,baada ya kustaafu kwake ckuona mwingine wa kunipa radha ya mpira mpaka alipokuja Messi ndani ya hii dunia.
Maradona heshima kwako[emoji1545]
Messi heshima kwako[emoji1545]
Wacheza mpira waliishia Sasa hivi n wafungaji tu ndo wamebaki . Mpira Ni zaidi ya kufunga inatakiwa mbwembwe na manjonjo mashabiki wafurahi . Ronaldino na zidane waliovyo staafu na mpira ukaishia hapo. Hawa wengine sjui mess na ronaldo ni wafungaji syo wachezaji.Ni maneno yako binafc mjomba,,wenye kuujua mpira wanajua nani alikuwa mkali katika soka,,