Gauni la Rose

Gauni la Rose

Watu bana sijui kwa nini wanakuwa na secret ajenda kila pale Rose anaposhine. Kazi kumwekea chuki tuu kila kukicha hapo zamani kidogo walimletea chuki baada ya kushinda tuzo ya kili, sasa wanaleta chuki juu ya gauni lake wakitoa sababu za ajabu. Eti gauni lina kola ya kiFremason, etii oooh gauni material ya satin, mara ooooh kubwa sana.

Come on.. People lile gauni kalitendea wema sana dada yetu. Kwanza tu ile rangi yake ya light green ina maana kubwa sana. Ile rangi inaashiria mwanzo mpya, inaashiria amani, Ina ashiria afya. Mumuache arelaxy Bwana anamfariji.

Hilo gauni, hiyo ndiyo maana ya "Kamata Pindo, lete mudundo"
 
Watu bana sijui kwa nini wanakuwa na secret ajenda kila pale Rose anaposhine. Kazi kumwekea chuki tuu kila kukicha hapo zamani kidogo walimletea chuki baada ya kushinda tuzo ya kili, sasa wanaleta chuki juu ya gauni lake wakitoa sababu za ajabu. Eti gauni lina kola ya kiFremason, etii oooh gauni material ya satin, mara ooooh kubwa sana.

Come on.. People lile gauni kalitendea wema sana dada yetu. Kwanza tu ile rangi yake ya light green ina maana kubwa sana. Ile rangi inaashiria mwanzo mpya, inaashiria amani, Ina ashiria afya. Mumuache arelaxy Bwana anamfariji.

Picha haifunguki
 
Mbona Zuri kapendeza Sana....wamwache huyo ndio mfalme sijui malkia wa waimba gospel wooote east Africa na kati
 
Kapendeza mno
Mbona hata huyo shusho kavaa satini?
 
Mbona rangi ya usoni haifanani na mikono na kifuani🤔🤔 wahuni tuu hao
 
kola ya kifrimason ndo ipoje😂😂😂 watu wana mambo
 
Back
Top Bottom