Gautes

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,678
ninaomba msaada wa kuujua ugonjwa huu na chanzo chake tafadhali na nini kifanyike kuprevent
 
Niliwahi kusikia mahali fulani kuwa chanzo chake ni nyama ya mbuzi na bia, au toomuch protein mwilini, na kutokuwa na tabia ya kuupa mwili mazoezi ya kutosha.Ila kitaalamu zaidi tuwasubiri wenye fani hizo
 
Kuna mtu aliwahi kunambia kuwa ulaji ulliopitiliza wa red meat ni chanzo kikuu......tena haswa nyama ya mbuzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…