JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
kwa kweli. tuna ajira ila masharti yake huwezi kukopa, na huku ndio tuko wengi.
Mimi sijaelewa hapo kwenye hazitaruhusiwa kutoa gawio. Nahitaji ufafanuzi zaidi. Kwani zisipotoa gawio sii ndio vizuri kwa hizo benki?Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amezitaka Benki na Taasisi za fedha kupunguza masharti ya mikopo na riba ili malengo yaliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ya kuwawezesha wananchi kiuchumi yaweze kutimia.
“Tumeelekeza benki ambazo hazishushi gharama za uendeshaji hazitaruhusiwa kutoa gawio mpaka zishuke hizo gharama ili tuone wananchi wanapata huduma bila kuwa na gharama zisizo eleweka,” - Profesa Luoga.
Zikizuiwa kutoa gawio itaathiri wawekezaji wao kwa kuonekana performance yao kibiashara ni dhaifu. Wawekezaji (wanahisa) watapukutika, na thamani ya hisa zao kuanguka.Mimi sijaelewa hapo kwenye hazitaruhusiwa kutoa gawio. Nahitaji ufafanuzi zaidi. Kwani zisipotoa gawio sii ndio vizuri kwa hizo benki?
Hivi ukiwa na ideas ya miradi unakopesheka au ndio lazima mambo ya hati , nyumba , mashamba kwanza!!?Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amezitaka Benki na Taasisi za fedha kupunguza masharti ya mikopo na riba ili malengo yaliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ya kuwawezesha wananchi kiuchumi yaweze kutimia.
“Tumeelekeza benki ambazo hazishushi gharama za uendeshaji hazitaruhusiwa kutoa gawio mpaka zishuke hizo gharama ili tuone wananchi wanapata huduma bila kuwa na gharama zisizo eleweka,” - Profesa Luoga.
Niliona mkuu napunguza leo leo
Ata uwe na nyumba ya mamilion ya pesa kama huna kazi ya maana au biashara hawakukioeshi ng'oo.Hivi ukiwa na ideas ya miradi unakopesheka au ndio lazima mambo ya hati , nyumba , mashamba kwanza!!?
Umezungumza sahihi sana mkuu, gharama za uendeleshaji ni hizo kama ulivyochanganua. Lakini Gavana amezungumzia kuhusu punguzo la Riba maasharti ua kupata mikipo ili kuweza kuongeza idadi ya watu wanaochukua mikopo na hatimae kuweza ku boost uchumi.Gavana amemaanisha nini kuhusu kushusha garama za uendeshaji?
Mimi nadhani garama za uendeshaji hazihusiani na riba pamoja na garama za mkopo ambazo ndizo zinatukwaza wakopaji
Nadhani garama za uendeshaji ni kama, kulipa mishahara watumishi, kulipia majengo, umeme, maji na matumizi mengine ya ofisi ambayo hayahusiani na riba za mikopo