Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Gavana wa Mombasa Hassan Joho amenunua Helictoper mpya kwa matumizi yake binafsi. Amenunua Helictoper hii baada ya uchaguzi mkuu kwisha hivi karibuni. Kuna malalamiko makubwa kuwa baadhi ya magavana wa kaunti nyingi nchini Kenya wamekuwa wakifanya ufisadi mkubwa kwa fedha zinazopelekwa kwenye kaunti hizo. Hii ni awamu ya pili kwa Hassan Joho kuwa Gavana wa Mombasa.
Gavana Joho ameonekana kwenye sehemu mbalimbali akitanua na warembo hii ikiwa ni kinyume na ahadi aliyoitoa katika kampeni za uchaguzi kuwa yeye yupo kwa ajili ya kutetea masikini na wanyonge.
Kwa uhalisia Gavana Hassan Joho ana behave kama playboy ama celebrity sio kiongozi