Gavana Joho anunua Helictoper Mpya

Gavana Joho anunua Helictoper Mpya

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Gavana wa Mombasa Hassan Joho amenunua Helictoper mpya kwa matumizi yake binafsi. Amenunua Helictoper hii baada ya uchaguzi mkuu kwisha hivi karibuni. Kuna malalamiko makubwa kuwa baadhi ya magavana wa kaunti nyingi nchini Kenya wamekuwa wakifanya ufisadi mkubwa kwa fedha zinazopelekwa kwenye kaunti hizo. Hii ni awamu ya pili kwa Hassan Joho kuwa Gavana wa Mombasa.
Gavana Joho ameonekana kwenye sehemu mbalimbali akitanua na warembo hii ikiwa ni kinyume na ahadi aliyoitoa katika kampeni za uchaguzi kuwa yeye yupo kwa ajili ya kutetea masikini na wanyonge.
Kwa uhalisia Gavana Hassan Joho ana behave kama playboy ama celebrity sio kiongozi
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    29.8 KB · Views: 105
  • image.jpeg
    image.jpeg
    32.8 KB · Views: 114
  • image.jpeg
    image.jpeg
    38.7 KB · Views: 93
  • image.jpeg
    image.jpeg
    32.5 KB · Views: 103
  • image.jpeg
    image.jpeg
    40.6 KB · Views: 101
hahahahahaaaa yani huyo jamaa naona hata museven kamshindwaaa
 
Huyu jamaa namkubali sana, ndiyo king wa jiji la maraha.... one day I will meet him
 
Kila msanii anaenda kenya kwa sasa kulikoni?
Hii ni picha ya nandy akiwa amechora tatoo ya gavana wa mombasa bwana Joho....

Jee inamaama wapo kwa mahusiano?hivi joho si anaye mpenzi!

Ijapo haijathibitika rasmi ila joho anapaswa aweke wazi au tumuulize rafiki yake wa karibu ambaye ni Omy dimpoz au hata kibaView attachment 1019126

Sent using Jamii Forums mobile app
mtoto mzuri kabisa. sauti yake tamu ya kutoa nyoka pangoni
 
Back
Top Bottom