Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hehee..daaah...hizi siasa za Kenya bana. Kidero kamzaba kofi Shebesh na kibao kikasikika kabisa halafu etu anakana kufanya hivyo.
Kidero kafanya kitendo cha kihuni kabisa. Kama hana ngozi nene ya kuweza kuhimili mikikimikiki inayokuja na nafasi za juu za kiuongozi wa kisiasa ni bora awaachie wengine tu.
Mambo gani sasa haya ya kumzaba kibao Rachel? I like her. She is very hands on and he is lucky they held her back otherwise she'd have fought him - scratching, biting, and all.
Damn him.

Last edited by a moderator: