bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Sasa hapo unachotaka kusema ni kuwa mabega ya Recho yamekuwa na hana heshima? Na Kidero naye unamuweka kundi gani? Kwa nini yeye asingewajibika kujisitiri kama aliona Recho ame 'loose temper'?siasa za siku hizi hazina heshima kabisa.
lkn Nyani Ngabu huwez kuamini i being a woman siwez kuanza kubishana na mwanaume that way tena mbele za watu. nikiona tayari huyu mwanaume amesha loose temper the best thing is for i to shut my mouth and quit. haitonipunguzia chochote kile na pia itanikinga na dhalili ya aina hii.
ndio mana kuna siku nilishiriki kwenye mjadala mmoja TGNP nikawaeleza wazi kwamba nia ya harakati za kijinsia sio kukuza mabega ya wanawake ila ni kumtetea mwanamke dhidi ya haki zake za msingi anazo kosa, na pia inatakiwa zimwelimishe mwanamke juu ya heshima na wajibu wake kwa jamii, manake what comes first before anything is personal respect.
ukijiheshimu huwez kuanza kutukanana na mtu publicly bila kuwa na haya juu ya kutoutendea utu wako heshima. a lady should act like a lady and not otherwise
Ulitaka Kidero abembelezwe kusikia kilio cha wafanyakazi wanaodi mishahara yao?