Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

Haya mambo ya ukanda yameanza lini?
 
Halafu kuna genge limekosa adabu,
 
Unajua ukikaa karibu sana na ng'ombe akili zako zinakuwa kama za ng'ombe....besides huku kwingine wanafoji tu wanatakiwa wawe karibu na ng'ombe
 
Prof Luoga anatosha BoT ? Maana alikuwa bingwa kupika data za urongo ....tumpe muda atupe majibu....muda mwalimu mzuri
Ndugu yangu a,min amin,m amin nakuambia wasukuma ni kabila kubwa sana kupita yote africa mashariki na kati.
 
Ndugu yangu a,min amin,m amin nakuambia wasukuma ni kabila kubwa sana kupita yote africa mashariki na kati.
Prof Luoga ni mngoni ....pia ukabila tena ? Mimi siko huko kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…