Ulipata zero hesabu ndio maana ni zero brain,kwamba 100% less 26% utapata 74%?😀😀😀😀
Kwa taarifa yako zile takwimu za gavana hazipo kwenye chanzo chochote si BOT wala NBS, kzilitolewa kisiasa ili kuwafool na kumpa mama promo.Wewe kama una source iweke hapa ili tujue na wengine wanavyochangia.
Taarifa iliyopo ni ya 2019 as per NBS,Lake zone=23.1%,Coastal zone=23.8%,Highland zone=18.3%,Northern zone=17.3%,Western zone=7.8%,Central zone=5% na Southern zone=4.7%
Hata hivyo sio sawa kwa takwimu kutumia kanda kwa sababu idadi ya mikoa kwenye kila kanda ni tofauti,wakati Lake zone na Highlands wana mikoa 6 kila moja kanda ya kati,kusini,magharibi,Pwani wana mikoa miyatu mitatu sasa hizi sio sawa.
Takwimu halisi ni za kila mkoa kama inavyoonesha hapa chini kuanzia pg 48[emoji116][emoji116]