Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umeishiwa hoja,usilinganishe wakinga na vitu vya kijingaWe pimbi wa makete hapo makete kuna nini zaidi ya UKIMWI na ufakara uliotopea!
Tumbavu, mtu umepauka miguu imeliwa funza afu unakuja hapa unabana pua kuita watu maskini!. Nyambafu!!
Sasa watu wanazaana hovyo kama wanyama then unategemea niniUkiwa na darasa lako la wanafunzi 10 halafu wote wakapata daraja la tatu kitakwimu utamzidi yule mwenye darasa la watu 100 halafu 20 wamepata daraja la kwanza, wengine la pili, tatu na 10 wana sifuri.
Idadi ya watu pia inarudisha nyuma takwimu.
Usikariri tu kanda ya ziwa ni masikini bila kuangalia idadi ya watu. Kukiwa na watu wengi hata masikini wanakuwa wengi vile vile.
Usilinganishe jiji la Mwanza na ujinga wowote wa huko matakoni mwa Tanzania[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umeishiwa hoja,usilinganishe wakinga na vitu vya kijinga
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ukweli mchungu na mlivyo wengi mnaishia kugawana umaskini tuuZero brain
Tunahesabiwa from where si kwenye kile tulichozalisha au?Mkuu population ya mkoa Kama njombe ni ndogo Sana sidhani Kama wanafika hata one million. Ndo maana mkihesabiwa per capita njombe inaonekana kuwa juu kulinganisha na mikoa ya Kanda ya ziwa Kama mwanza na kagera iliyonyuma ya dar kwa population na density. Lakini kihualisia huwezi linganisha maisha ya watu wanaoishi bwiru,capripoint,busweru au kisesa mwanza au hata vijiji vya wahaya huko muleba,misenyi au kamachumu na mkoa wenu wa njombeView attachment 1818666View attachment 1818667
Sasa kamuulize gavanaMimi sioni cha ajabu hapa maana ni sehemu kubwa sana ambayo inaitwa kanda ya ziwa kuanzia huku Musuma mpaka akagera ni mbali sana ! vilevile kuna watu wengi sana. Lakini uchumi wa Tanzania haupimwi kwa kanda na hatuna majimbo Tanzania mfano Bukoba ni tofauti na Mara lakini kwasababu ya ziwa wanaitwa kanda ya ziwa
Baada ya ziara ya kikazi jijini la kwanza Dar, Sasa Rais yuko Mwanza jiji la pili nchini, tunaenda kwa ukubwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umeishiwa hoja,usilinganishe wakinga na vitu vya kijinga
Sasa kamuulize gavana
Nasikia huko Kilimanjaro wazee wanauliwa kama kuku ili vijana warithi vihamba. Wanawake mpaka wanaenda kukodi wanaume Kenya wawaoekeee motooooo🔥🔥🔥🔥🔥Sasa watu wanazaana hovyo kama wanyama then unategemea nini
[emoji28][emoji28][emoji28] eti mwamposa .Umeanza kujivunia kabila na maeneo wakati wewe mwenyewe hata huna mchango wowote wa maendeleo. Tusipende kudandia maisha mazuri kwa sababu tu kabila lako ana nyumba ya ghorofa! wewe mwenyewe una nini? Jiulize Mwamposa aliwezaje kuwakanyagisha mafuta? Ni ugumu wa maisha tu ndo unamfanya mtu aamini miujiza.
Mfano tu njombe inazalisha Nini zaidi ya mkoa wa kagera? Labda miti tu?Tunahesabiwa from where si kwenye kile tulichozalisha au?
Na nyie mnahesabiwa kutoka mlichozalisha,sasa mnapozaana hovyo huku tija yenu ni ndogo nani alaumiwe?
Lake zone ingekuwa nchi mngekuwa failed state kama Nigeria
Atakuambia avocado[emoji1649] za mia mbili mia mbili.Mfano tu njombe inazalisha Nini zaidi ya mkoa wa kagera? Labda miti tu?
Kagera wanazalisha ndizi 64%,kahawa55%,vannilla 80%,miwa Sukari 35%, samaki kupitia uvuvi,maharage 36%,chai ,bado biashara za mipakani nk nk
Hizo avocado zenyew zinazalishwa sana tu sehemu migomba inapositawi Kama Moshi na bukobaAtakuambia avocado[emoji1649] za mia mbili mia mbili.
Yap, hata karagwe zipo nyingi tu, ila mtu mfupi mbishi maskini wa makete Opportunity Cost atabisha.Hizo avocado zenyew zinazalishwa sana tu sehemu migomba inapositawi Kama Moshi na bukoba
Makete hakuna maskini,maskini mnapatikana huko kanda ya ziwa ukiwemo wewe ndio maana unahangaika tuu hapa.Kama zipo huko Karagwe mbona hatuoni zikiwanufaisha na kuwatoa kwenye kuongoza kwa umaskini kama kwetu Makete/Njombe?Yap, hata karagwe zipo nyingi tu, ila mtu mfupi mbishi maskini wa makete Opportunity Cost atabisha.
Gavana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania.
Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa.
Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania.
Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya pamba na kahawa inayouzwa nje ya nchi.
Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 95% ya mauzo ya samaki ndani na nje ya nchi.
Kanda ya ziwa inavutia zaidi ya 80% ya watalii ama mapato ya utalii Tanzania. Kwa maana kwamba Serengeti national park hutembelewa na zaidi ya 80% ya watalii wanaokuja Tanzania. Bila Serengeti utalii Tanzania ni kama haupo. Bila Serengeti wazungu tutaishia kuwaona kwenye tv.
Mwisho na kwa umuhimu wa wanasiasa, kanda ya ziwa ina wapiga kura wengi kuliko kanda yoyote ile Tanzania. Kanda ya ziwa ina determine urais wa nchi hii hivyo wanasiasa chagueni maneno na kauli zenu kuhusu watu wa kanda ya ziwa.
Huyo Mungu ameona amuondoe duniani kwa muda huu na yeye Mungu kuna alichokiona ambacho sisi hatukufahamu na jina lake lihimidiwe kwani kazi yake haina makosa.Maneno unayotumia hayana kipimo. Unaposema teuzi nyingi ziliegemea kanda ya ziwa unaweza ukasema nyingi maana yake ni nini? Wateule wa rais ni mawaziri na manaibu wao, makatibu wakuu na manaibu wao, wakurugenzi, makamishna.... Hebu endelea kwa mtindo huo, halafu useme kama kweli ni kanda ya ziwa.
Miaka kadhaa Wachaga walituhumiwa kujazana TRA na CRDB na hakika hadi mameneja wa matawi walihesabiwa kwa ukabila wao. Tulipouliza tuliambiwa eti wamesoma sana. Sasa hivi elimu hiyo imetoweka? Kusoma ili kuajiliwa TRA? Yaani certificate za chuo cha kodi, siyo hata PhD? Sasa kuna kigezo gani cha kulalama?