TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

Asante sana. Kuna watu wamezaliwa huko mbugani ambako kuna imani za kishirikina na kila aina ya ujinga hivyo inakuwa vigumu kuamini sayansi. Kila kitu wanachukilia kama ''kuna watu wananionea wivu''. Nakumbuka bibi mmoja kijijini kwetu, sasa ni marehemu, lakini wakati wa maisha yake yote alikuwa haishi kwenda kwa waganga eti analogwa kwa kuonewa wivu. Kichekesho ni kuwa alikuwa maskini wa kutupwa. Hizi ni imani ambazo zikishaingia kwenye bongo zetu tangu udogoni hazitoki kwa urahisi. Kitaalam ugonjwa kama corona unakuja kwa ''waves'' au niseme labda awamu. Mlipuko wa kwanza, inatulia kidogo, mlipuko wa pili, inatulia kidogo etc. Sasa kuna wenzetu walipoona kumekuwa na utulivu baada ya wave ya kwanza wakasema sala zimeikimbiza corona.
 
Usihofu kaka, ni maneno ya kawaida na si dua, ni sawa na kusema sisi wote ni wa muumba na kwake tutarejea.
Ndivyo tulivyofundishwa kusema pindi upatapo taarifa zozote za msiba iwe wa muislam au asiye muislam.
Sawa Mkuu
 
Huyu Gavana alikuwa anasigishana na raia namba moja kuhusu matumizi holela ya pesa ya huyu raia.
May his memory always be a blessing!
Kwa hiyo corona ni kisingizio, kumbe kukataa kwenda kwa mr.slim alikuwa anakwepa mtego hata hivyo kulikuwa na mtego mwingine mahala fulani, anyway ila kisasi ni cha Mungu.
 
Corana imefanya yake
 
Benno umetuachia matunda pumzika kwa amani
 
Akikubali kuwa ipo ndio watu hawafi?
Nini maana ya kiongozi mkuu, mbona unapenda sana ligi? asilimia kubwa ya watanzania uamini sana maneno ya viongozi wao. Kiongozi akiwa muongo na kigeugeu anawapoteza watu wake kabisa. Mzee wako anahama reli soon.
 
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun. Nilisoma sehemu flan kifo chake kimetokea siku mbili baada ya kifo cha katibu mkuu wa zaman wizara ya fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…