TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

Mtu wa VITENDO na MATOKEO bila ya kelele nyingi?

Watu wa namna hii wapo hapa nchini. Tunawapoteza hivi hivi tu!

Inaonekana kutokana na maelezo, alikuwa ni mzima wa afya, hata baada ya kustaafu hadi siku chache tu zilizopita!

Taratibu watu wanaanza kuingia mstarini kwa katazo la kutaja neno "Corona".

Mungu aiweke mahali pema roho yake.
 
"Tusipaniki hali yetu ni Shwari kabisa" alisikika mtu mmoja.
 
Huu ugonjwa naona kama umeelekezwa kwa maprofesa vile au ni mimi mawazo yangu ya ki stendi stendi.
Nasema uongo ndugu zangu?
 
Sisi waislamu tunawaombea waislamu wenzetu dua na sio R.I.P,,, mzungu akitia neno nanyi mnaiga bila hata kujua lina maana gani,,,pole dada.
Kinachokusumbua ni lugha za kumuombea marehemu.
Hivi unapomsomea mtu dua, mpaka uongezee maneno ya kiarabu au kizungu ndiyo dua inakamilika ?!. Kila moja amuombee marehemu kwa lugha anayoifahamu vizuri . Same na ibada.
 
Poleni wanafamilia kwa kupoteza Baba Msomi aliitumia hii nchi kwa awadilifu wa kiasi chake.

RIP prof.
 
Wewe ni moja ya watu wapumbavu sana hapa jf!

Huyo jiwe yupo ulaya, marekani, uchina, russia, india, blazil na kwingineko ambako malaki ya watu wamekufa?

Huyu jiwe naona hata mkigongewa wake zenu mtamsingizia kumbe ni uzembe wenu wa kutowaridhisha.
Punguza povu mkuu, stone lina tatizo mahala fulani. Ukikataa hilo na wewe tunakuunganisha.
 
Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi maana sisi sote ni wapitaji tu hapa duniani...so sad,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
We una hakika anaenda kuadhibiwa mpaka useme apunguziwe adhabu? Au umeamua kuandika kama mazoea ya maandazi wengine wanavyojiandikia?
 
Punguza povu mkuu, stone lina tatizo mahala fulani. Ukikataa hilo na wewe tunakuunganisha.
Ninyi ndio wenye shida! Yani kwenye janga la corona unawezaje kusema rais anawaua makusudi?

Dunia nzima inahaha kuna nchi watu mpaka leo wako karantini, sisi hapa tulipaswa kumshukuru Mungu maana ingetupiga kama kwa wenzetu tungekufa si tu kwa corona bali kwa hofu na njaa,! Alafu jitu kinakuja hapa eti rais anaua watu. Ujinga kabisa
 
Inawezekana ikawa ni kwa makusudi bila ya kukusudia, wala usipate presha mkuu, acha watu watoe ya moyoni kwani mwenye kaya hasomeki. Hili linaleta mkanganyiko sana kama baba nyumba haeleweki, kuna wakati watu wenye kutumia bongo zao vizuri hufikiri kuna tatizo somewhere. Tumuombee hekima tu.
 
Ninyi ndio wenye shida! Yani kwenye janga la corona unawezaje kusema rais anawaua makusudi?

Dunia nzima inahaha kuna nchi watu mpaka leo wako karantini, sisi hapa tulipaswa kumshukuru Mungu maana ingetupiga kama kwa wenzetu tungekufa si tu kwa corona bali kwa hofu na njaa,! Alafu jitu kinakuja hapa eti rais anaua watu. Ujinga kabisa
Acha uboya kama baba yako. Unadhani Tanzania hakuna watu wengi waliokufa? Na mbaya zaidi nchi za Ulaya wanaokufa wengi ni wazee wa miaka 70+ lakini hapa kwetu wanakufa mpaka watu wa miaka 30 kwa ajili ya ujinga wa mtu mmoja. Of course hata kama uongozi ungekuwa makini vifo havingekosekana ila vingepungua sana.
 
Back
Top Bottom