Gavana Ole Lenku na viongozi wa Kimaasai walaani tamko la rais Magufuli

Don't forget that Tanzania's economy grows at 7% , that of Kenya goes at 5%, tourism earnings is $2.2B for Tanzania, only $800M for Kenya, manufacturing sector is growing faster in Tanzania, that of Kenya is slowing down, Tanzania is building faster, modern, high speed and high capacity SGR, from its money so far, while Kenya can't manage to pay for even 10km of old, diesel, slower rail.
By the way, why do you want to force love from Tanzania, if you think Tanzanians do hate Kenya, so what. Unless you are losing something, but that should not pain you.
 
Hatuwezi tukakubali upuuzi km huu kwa kisingizio cha diplomasia,hatuwezi,hatuwezi kila mtu atumie ardhi yake kulisha mifugo na kulima na kujakufanya hayo mambo kienyeji kienyeji tu eti kisa dipolomasia.
 
I can only see lack of diplomacy skills, it's an issue which was supposed to be solved by co- ministers not even minister of foreign affairs.
 
Mvua imenyesha kwa wingi Kajiado county. Nyasi zao wazikaange wale nazo sima. Tupatane tena kiangazi kikirudi. Kwani JPM ndo alipanda nyasi hizo?
 
Kwa hiyo ili kuwatia adabu ni kutaifisha mifugo yao...!!??
Maharagwe ana roho mbaya kama ya shetani!!
Huo ndiyo utaratibu wa kisheria,hakuna roho mbaya hapo Ila km una huruma nao Sana hadi roho imekuuma kwakua wewe una roho nzuri sana kawatafutie se hemu ya kuchungia tofauti na ardhi ya Tanzania.Wao si wana ardhi km sisi Kwanini wasichungie hukohuko?Hata sisi pia tuna mifugo hayo malisho ni kwa ajili ya mifugo yetu na si vinginevyo.
 
******** ni raisi kilaza tuu
Nimeipenda hii hawa nyoko wanapenda fyokofyoko sana! Imagine The Star inaandika "Magufuli torched chicks from Kenya"! Wanachotafuta watakipata tena walivyo divided sasa wasitafute ugomvi
 
mtafanya
 
Unaongea nini sikuelewi, mifugo yenu ilitafuna hifadhi ya Burigi mpaka wanyama wameisha Burigi mkishirikiana na nchi nyingine sasa mnataka mmepeleke msiba Serengeti?

Hivi kuna mtanzania anaechungia masai mara?
 
Maelezo yako ni sahihi kabsa lkn serikali inachofanya ni maigizo, hii haitofatiani na unaposikia viongozi wanakwambia ukimaliza shule ujiajiri au jikite jatika kilimo lakn yeye na ukoo wake wote hakuna aliyejiari au anayeshughulika na kilimo, na akiwa na familia yaje utasikia anasema kama umeshindwa kuishi mjini nitakurudisha kijijin ukalime, hii maanake nn? hii ni kwa sababu kilimo hakina faida au kilimo ni kibaya.
Hivi unadhani mwaka 1980 mpaka 1990 kuna mwana Dar alikuwa anaamuka saa 10 kwenda kazini ? bilashaka walikuwa wanaamuka saa12 na saa 2 tayar anawahi ofisin kwake au kwa biashara yake lakn leo unaweza kuamuka muda huo ukawahi? labda awe anaishi maeneo yaleyale, na je, kuna aliyelazimishwa au pigwa ili aamuke saa10 usiku kwenda kazini ? bila shaka hayupo, sasa maendeleo au mabadiriko uletwa na serikali kutoka na mipango yake then wananchi wake ubadirika kuendana na wakati.
Serikali itengeneze mazingira ya kuwavutia wafugaji wa kienyeji ili watoke huko wawe wa kisasa bila hivo utaendelea kuwa mtaji wa kisiasa milele na milele.
Kumbuka wanafunzi walikuwa hawavai viatu kwenda mashuleni serikali iliwaelimisha umuhim wa kufaa viatu na viatu vikapatikana madukani, kwa sasa kila mzazi anajua umuhim wa kumvalisha mtoto wake kiatu.Sio uwafukuze watoto shule kisa hawa viatu wakati huohuo viatu madukani hakuna sasa unataka wafanyeje??!
 
Kwahiyo Wasomali wa Mogadishu wanaruhusiwa kuingiza ngamia zao kenya huko Garrisa? Najaribu kuuliza tu nione hapo inakuwa je.
 
Ni wakati sasa jamii kama hizi za kimaasai watambuwe kuwa dunia ya leo imewekwa mipaka, na wao itabidi wachaguwe ni nchi gani wanataka kuendeleza maisha yao. Haiwezekani wengine wote tufuate sheria lakini jamii moja inakuwa juu ya sheria, wana vuka mipaka bila taarifa yoyote na kuleta usumbufu katika jamii. Hata nchi nyingine nyingi zenye jamii za kitamaduni zinaanza kujibadilisha, sio red Indian wa marekani, au Aborigines wa Australia. Jamii hizo zinaamza kukubali maendeleo ya kidunia na kuchangia maendeleo ya nchi. Wamaasai wote EA watabaki kuwa ndugu lakini lazima wajulikane wao ni wa upande gani. Simuoni huyo Ole Lenku akijiita mtanzania, au akivuka mpaka bila kufuata utaratibu, sasa kwanini mchungaji wa kimaasai yeye anavuka mipaka tena na kundi la wanyama bila kujali mazingira.
 
Kama kuna ndugu wafukuzeni pia ama mnyamaze! Msilazimishe hakuna kuchangia ardhi ya Tanzania uwe Mmasai usiwe Mmasai! Hizi chokochoko zimeanza siku nyingi sana kupitia taasisi za Nairobi, Kikwete kalea sana hili jipu! Mwacheni Magu alitumbue.
Tanzania siyo Kisiwa inahitaji mahusiano mazuri na majirani zake wote,hili lilihasisiwa na Baba wa Taifa na wote waliopata kuongoza Taifa hili,ni kwakuwa walijua kuwa hapa duniani ukitaka kuishi kana kwamba unajitosheleza kwa kila kitu utakwama tu....na wenye akili watakuhesabia siku zako ambazo ni chache sana...Marekani na utajiri wake woote inawahitaji majirani na washirika wake kama China,China hali kadhalika...Russia na nguvu zake anahiitaji Marekani...sembuse sisi ambao hata dawa ,mafuta na chakula tunahemea!!
sasa sisi ngoja tuendelee na kiburi chetu cha umasikini tuone kitatupeleka wapi?
 
Mkuu tumia elimu/akili yako kufikiri kwa mapana zaidi ya hapo,ukihusisha historia ya kabila la wamaasai kama wafugaji wa kuhama hama!Si ajabu hata hapo ulipo kwa sasa ni mali ya wamaasai au kabila lingine linalotoka kwenye kundi la wafugaji!
 
***** zao
Mbona mda wote wamekuwa wakisema mt kilimanjaro iko kwao.
 
Kenyatta ameodhi ardhi yote ya kenya na kuiyatamia wananchi wake anataka waje kuchungia Tanzania, kama kweli Gavana Ole anawapenda wananchi wake angeshughulika na Uhuru kama njia ya kutatua changamoto ya malisho kwa wananchi wake
 
Huyo Ole Lenku naye ni nani kumkashifu Rais wetu tena kwa lugha kama hiyo? Si kigavana tu hicho? Ashike adabu yake!
 
Bora wamesema wa nje ya Tanzania maana tukisema sisi tunaonekana tuna Gubu, ni wachochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…