Tanzania siyo Kisiwa inahitaji mahusiano mazuri na majirani zake wote,hili lilihasisiwa na Baba wa Taifa na wote waliopata kuongoza Taifa hili,ni kwakuwa walijua kuwa hapa duniani ukitaka kuishi kana kwamba unajitosheleza kwa kila kitu utakwama tu....na wenye akili watakuhesabia siku zako ambazo ni chache sana...Marekani na utajiri wake woote inawahitaji majirani na washirika wake kama China,China hali kadhalika...Russia na nguvu zake anahiitaji Marekani...sembuse sisi ambao hata dawa ,mafuta na chakula tunahemea!!
sasa sisi ngoja tuendelee na kiburi chetu cha umasikini tuone kitatupeleka wapi?