Gavana Sonko abaini maiti 12 za Watoto Wachanga zikiwa zimefichwa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, akiwa amevalia kikacheroa amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Wazazi ya Pumwani abaini maiti 12 za Watoto wachanga zikiwa zimefichwa kwenye maboksi zikiwa ndani ya mifuko ya plastiki

Kufuatia sakata hilo, Madaktari 3 waandamizi wa hospitali hiyo wamesimamishwa kazi na kupewa siku 15 za kujieleza.

Aidha katika Hospitali hiyo Wanawake waliokatika uchungu wa kujifungua wamekutwa wakiwa katika hali hiyo kwa zaidi ya saa 10 bila ya kupewa msaada
 
Ivi jamani binadam tumesha kosa uruma daaa mungu ndo anajua
 
Mbona maelezo yanetolewa vizuri tu na hakuna ubaya wowote hapo. Ni kwamba hospitali tajwa haina chumba cha kuhifadhi maiti hivyo hizo ni maiti za waototo waliofariki katika uzazi ja walikuwa wanasubiri kuzipeleka kwenye hospital yenye huduma ya kuwahifadhi. Na ni maiti za tangu last friday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…