Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, akiwa amevalia kikacheroa amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Wazazi ya Pumwani abaini maiti 12 za Watoto wachanga zikiwa zimefichwa kwenye maboksi zikiwa ndani ya mifuko ya plastiki
Kufuatia sakata hilo, Madaktari 3 waandamizi wa hospitali hiyo wamesimamishwa kazi na kupewa siku 15 za kujieleza.
Aidha katika Hospitali hiyo Wanawake waliokatika uchungu wa kujifungua wamekutwa wakiwa katika hali hiyo kwa zaidi ya saa 10 bila ya kupewa msaada