Gavana sonko akatiza kitaa na mavazi yake ya kijeshi!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
ni hii leo katika pilka pilka za kusherehekea sikukuu ya madaraka day, amakatiza mitaani huku kavalia mavazi yake rasmi ya kikazi....hongera sana Mhe sonko, wananchi tumeyafurahikia na hayo mapete yaliyojaa vidoleniišŸ¤£šŸ‘‘ bling bling
 
hapa kazi tuuu...naskia bashite kakataa ist za kuhongwaaa🤣
šŸ˜‚ 🤣
 
shikamoo kamanda...mguu pande, mguu sawa!
 
Sio mavazi ya kijeshi boss, ni yale ya 'kanjoo', askari wa gatuzi la Nairobi. Ila amependeza, apunguze bling basi, asituletee umakadara wake pale City Hall. [emoji1]
 
Bashite..Rais mtarajiwa wa 2025 ambaye atawanyorosha pale namanga..mmezoa vifaranga vyenu kuchomwa, huyu atawachoma nyinyi binadamu
Nilitarajia utaniambia ni jamaa flani hivi ambaye ana vyeti vya kuzaliwa na kubatizwa tu! Basi. Anangoja kupata D.C, Death Certificate.
 
Nilitarajia utaniambia ni jamaa flani hivi ambaye ana vyeti vya kuzaliwa na kubatizwa tu! Basi. Anangoja kupata D.C, Death Certificate.
Hakuhitajiki Rais ambaye ana masomo mingi kukabiliana na mijizi ya kenya..Hata huyu jiwe na Phd zake anachelewesha sana..Hivi unawezaje kuchoma vifaranga na uwache wezi waende huru? Masomo mengi pia ni ujinga..
Dawa yenu ni bashite
 
Eti dawa yetu, na nani? [emoji15] Mtajiju wenyewe na mazero brain wenu. Mzee naona kama dish lako lishaanza kuyumba yumba, nadhani masaa ya kumeza tembe yameshawadia.
 
Sio mavazi ya kijeshi boss, ni yale ya 'kanjoo', askari wa gatuzi la Nairobi. Ila amependeza, apunguze bling basi, asituletee umakadara wake pale City Hall. [emoji1]
Naona Una kachuki flani na boss wa Nairobi,umakadara uliisha kitambo sasa ni urunda.
 
Eti dawa yetu, na nani? [emoji15] Mtajiju wenyewe na mazero brain wenu. Mzee naona kama dish lako lishaanza kuyumba yumba, nadhani masaa ya kumeza tembe yameshawadia.
Hivyo ndivyo ilivyo, ukitaka kumuweza kanjanja jifanye zero brain..Mtasumbuka hadi mpate vichaa..Dawa yenu bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…